Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Arumeru mashariki ni Ndg. John Danielson Pallangyo...


Nassari is out!!
 
Mwenye matokeo ya wilaya ya mwanga. Maghembe alikuwa anapumulia mashine wakati wa compaign. Mambo yakoje huko.
 
Arumeru magharibi!!!

ndg. Sabaya anaongoza kura za awali
 
Si lalamiki ila naeleza ukweli kilichotokea na asiwaaminishe watu kuwa ameshinda na wanairamba wanamtaka ukweli ndio huo na hawamtaki hata kidogo ndo sababu anatumia mbinu ovu
MapambanoDaima ww ni CHADEMA na sijui kwanini unamchukia Mwigulu pambaneni naye kwenye Ballot box Oktoba 25 /2015
yy ni mshindi hata kwa goli la mkono acer keshaleta matokeo sasa bisha ni wanaIramba wa wapi wamemkataa?


MATOKEO YA KURA ZA MAONI JIMBO LA IRAMBA,KILIMBA,JAIRO NA AMON WAAMBULIA PATUPU.MWIGULU ASHINDA KWA ASILIMIA 95.
MAtokeo yapo kama Ifuatavyo.

1.KATA YA MGONGO
Mwigulu 1510
2.KATA YA TULYA
Mwigulu 907
3.KATA YA MALUGA
Mwigulu 1026
4.KATA YA MTEKENTE
Mwigulu 1105
5.KATA YA NEW KIOMBOI
Mwigulu 919
6.KATA YA OLD KIOMBOI
Mwigulu 643
7.KATA YA MTOA
Mwigulu 3635
8.KATA YA ULEMO
Mwigulu 1059
9.KATA YA KYENGEGE
Mwigulu 1668
10.KATA YA MKULU
Mwigulu 659
11.KATA YA KINAPANDA
Mwigulu 2069
12.KATA YA NTWIKE
Mwigulu 1072
13.KATA YA NDAGO
Mwigulu 1003
14.KATA YA NDULUNGU
Mwigulu 557
15.KATA YA KISIRIRI
Mwigulu 1597
16.KATA YA KASELYA
Mwigulu 1613
17.KATA YA KIDARU
Mwigulu 1590
18.KATA YA URUGHU
Mwigulu 841
19.KATA YA MBELEKESE
Mwigulu 1105
20.KATA YA SHELUI
KWA KURA ZA MAONI NDANI YA CCM kwenye ngazi ya UBUNGE inasemekana Mwigulu Nchemba kaongoza kwa kupata asilimia 96%
 
Last edited by a moderator:
Unakumbuka vizuri wewe ama umezinduka? unakumbuka yaliyofanywa na Lowassa kwa mgombea mwenzie Kalokola kule Tanga? basi yule mzee analaani maka leo na laana itamfata Lowassa

We ndo.ndo..cha kweli...hivi Dr kalokola alibamizwa na lowassa au???ndugai aliburuza mtu bakora za kichwa..huoni tofauti ilivyo hapo..au unaendeshwa na chuki tu
 
Dume nilidhani una akili za kutosha kumbe ni kiwango kidogo tu unacho kwani ukawa nao wanashiriki ktk kura za maoni za wazee Wa Escrow?
 
STRIKER18 nawaonea huruma sana tena sana muliyo hongwa na msigwa . Nasubiria sana arudi kanisani .
 
Last edited by a moderator:
Wewe upo wapi nipo iringa hapa ccm imedorora kbs na mtu waliyekuwa wanamtegemea mama jesca kawa wa tatu magamba wenyewe wanasema bado mchungaji msigwa ni shida jipange na hoja zako
 
msagatiherry huyo asinge kuwa kimbele mbele kwa Team lowasaa angalau ccm wangemfikiria sasa kimbelembele chake na yeye atakatwa tu maana hamna namna nyingine sasa.

Kwa taarifa yako mimi nipo iringa na najuwa all games that are played so thats why nakuwa na imani kubwa kwamba ccm wanachukuwa jimbo.
 
Last edited by a moderator:
Kama hamujui siasa ni bora musi changie chochote . Maana nitabishana na watu amabo hata mwetekiti wao wa mtaa hawamjui so its better to wait untill october alafu muone msigwa akirudi kuhubiria kanisani

Mwetekiti ndo nani mkuu???.
 
Kk utaniambia nimeuzulia midahalo hapa mshindo na kijiweni hata mwenyekiti wa wilaya mh kiponza anakiri ccm bado wanakazi ila tusibishane sana cos October bado 2 months
 
Back
Top Bottom