israel_george
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 123
- 10
Iringa wanajua uhuru chini ya msigwa na utumwa wa mda mrefu chini ya ccm.hapo umekurupuka.
Huyu mwakalebela boya tu .....labda kama ataiba kura
Wanyakyusa wanagombea kuwaongoza wahehe! Wahehe mko wapi mnaachiaje eneo binge lenu kijinga jinga namna hii
Mwakalebela wako asidhani Iringa ni pale Ambiance Club Corner Bar anakojulikana na kila changudoa. Ingekua anagombea ubunge wa pale angepita bila kupingwa.Hakika, naomba mods kama itawezekana, uz huu ukae mpk baada ya 25.10 ili kuthibitisha maneno yangu.
Hii n kutokanana na ccm kumpitisha kipenz cha wanairinga FREDERICK MWAKALEBELA kuwa mgombea ubunge wa jimbo la iringa mjini. Ikumbukwe kuwa 2010 wanairinga walimchagua msigwa kulipa kisasi kwa ccm kwa "kumkata" Mwakalebela na si mapenzi ya msigwa na chadema. Ccm wamelisoma funzo la 2010 na wamewaletea wana iringa mjini mtu wao.
Nawasilisha!
Moto wa ukawa wa gesi wa ccm wa mabua
nani kakudanganya kwamba ccm imempitisha mwakalebela ? hata 2010 aliongoza kura za maoni lakini je alikuwa mgombea ?Hakika, naomba mods kama itawezekana, uz huu ukae mpk baada ya 25.10 ili kuthibitisha maneno yangu.
Hii n kutokanana na ccm kumpitisha kipenz cha wanairinga FREDERICK MWAKALEBELA kuwa mgombea ubunge wa jimbo la iringa mjini. Ikumbukwe kuwa 2010 wanairinga walimchagua msigwa kulipa kisasi kwa ccm kwa "kumkata" Mwakalebela na si mapenzi ya msigwa na chadema. Ccm wamelisoma funzo la 2010 na wamewaletea wana iringa mjini mtu wao.
Nawasilisha!
2010 alishinda kama alivyoshinda sasa akakatwa na Kamati Kuu? Una uhakika gani kama Uchaguzi hatakatwa tena?
andiko lako limenifariji sana .2010 Msigwa alishinda cdm ina wenyeviti 3 wa serikali za mitaa sembuse leo wako 60 na ushee
Hakika, naomba mods kama itawezekana, uz huu ukae mpk baada ya 25.10 ili kuthibitisha maneno yangu.
Hii n kutokanana na ccm kumpitisha kipenz cha wanairinga FREDERICK MWAKALEBELA kuwa mgombea ubunge wa jimbo la iringa mjini. Ikumbukwe kuwa 2010 wanairinga walimchagua msigwa kulipa kisasi kwa ccm kwa "kumkata" Mwakalebela na si mapenzi ya msigwa na chadema. Ccm wamelisoma funzo la 2010 na wamewaletea wana iringa mjini mtu wao.
Nawasilisha!
Toa ukabila wako usio na mana hapa..sugu ni mnyakyusa?lema marusha au mmasai?
Mkuu matusi si sehemu ya maisha ya muungwana...sijaona ulazima wa kumtaja baba wa mtoa mada hapa...tujaribu kuwaheshimu wazazi wa wenzetu kama tunavyotaka waheshimiwe wazee wetu.....