Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Kama ni kweli, ahojiwe nguvu gani za kisiasa alizokuwa nazo hadi kumpaisha kuwa mjumbe wa kamati kuu ya ccm.
 
mgiriki let's wait and see siasa sio vifungu vya sheria

kakaa! Chadema hawatusumbui kwasababu akili zao sawa na nyumbu.

Mpaka sasa Chadema imepiga hatua 10 mbele na imerudi nyuma hatua 15 kwahyo wark done = 0.

Hawa jamaa nisawa na nyumbu alitangulia kurukia mton nyumbu mmoja ambaye n mbowe na wengne wakamfuata kama unavyowajua nyumbu wanavyorukiana sasa bahat mbaya mamba kawashtua sasa wamesambaratika kila nyumbu yupo kivyake..

Tuonane oct
 
Last edited by a moderator:
Korogwe mjini ni Mary Chatanda kamshinda Yusuph Nasri
 
Jimbo la Tabora kaskazini..Kata Nne JOSEPH KIDAHA ameongoza kwa kura nyingi sana akifuatiwa na ALMAS ATHMAN MAIGE huku mtetezi wa jimbo ndungu SHAFFIN SUMA akipulia mashine hali ni tete..
 
Ndugai je??? hapa kituo Cha Mbande kapata kura 30, Na ndugu Ppalingo kapata 113
 
Jina "Slaa" kwa sasa ndio linaongoza kutokea kwenye tasnia ya habari kwa hapa nchini
 
Wenye matokeo ya CCM Kiteto na Simanjiro naomba atupashe maana huko ni moto wa kuotea mbali.
 
Mgombea nafasi ya Ubunge kupitia tiketi
ya chama cha mapinduzi Ndugu Devis
Mosha ameanza kupigania kulirudisha jimbo la moshi mikononi mwa c.c.m kwa udi na uvumba, baada ya style iliyozoeleka ya kutumia magari Jana tarehe 31/07/2015 zilianza harakati za kipekee kwa
kutumia helicopter huku ikipita maeneo ya moshi na kudondosha vikaratasi vyenye kuhimiza mabadiliko moshi,kila la heri Mkuu.
 
Na yule jambazi kura ngapi,na yule shoga,tujuzee wote.
 
Matokeo ya kura za maoni huko Arumeru Mashariki yamempitisha ndugu John D Pallangyo ambaye sasa atapambana na dogo janja!

Ikumbukwe kuwa Jon D alisemekana kuwa ni Team lowasssa na sasa lowasa yuko chadema na atatakiwa kumsupport Nassari.

Isitoshe John D alikuwa anapambanishwa na Sioyi ambaye ni baba mkwe wa lowassa nadhani anaweza kuingia chadema.

Challange ni moja tu je lowassa atamtosa John D waliyeanza naye safari ya matumaini?au atamtosa nassari mbunge wa Chadema?

Mbowe wakati anawalaghai wanachadema jui ya ujio wa lowassa hakuconsider dialema kama hizi ambazo zitajitokeza sehemu nyingi nchini.

lowassa kaja Chadema peke yake na kuwaacha wenzake wa safari ya matumaini ccm!!

Dr Slaa yuko sahihi kwamba Chadema ilihitaji kutafakari na sio kukurupuka tu!

Scenario kama hii itatokea Arusha mjini pia!!!


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Back
Top Bottom