Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Kazi yake bungeni alikuwa anasubiri pipi za wanaukawa wakigoma anapita meza mojamoja anachukua pipi ningeshangaa mumrudishe huyu kilaza
 
Nchimbi hajagombea safari hii na aliyeshinda ni Deonidas Gama (RC Kilimanjaro).

Asante kwa taarifa mkuu,yule mama uviza imekuwaje? Kama una matokeo yote itakuwa vizuri mkuu kushare
 
KURA ZA MAONI CCM
1. Mwigulu - Iramba
2. Nape - Mtama
3. Mwakasaka - Tabora Mjini
4. Mama Sitta - Urambo
5. Kadutu - Ulyankulu
6. Bashe - Nzega
7. Ngeleja - Sengerema
8. Seif - Igunga ktk jimbo jipya.
9. Masaburi - Ubungo
10. Jerry Slaa- Ukonga
11. Prof Kamala - Nkenge, Misenyi
12. Kagasheki -
13. Lukuvi - Isimani
14. January - Bumbuli
15. Muhongo - Musoma vijijini
16. Ndugai - Kongwa
17. Chumi - Mafinga
18. Kigola - Mufindi kusini
19. Mgimwa - Mufindi kaskazini
20. Filikunjombe - Ludewa
21. Mgimwa - Kalenga...
22. Lusinde - Mtera
23. Imani Moshi - Kaliua
24.Mwakasaka -Tabora mjini
25.Fenala Mkangara -Kibamba
26.Mapunda-Mbinga mjini
27.Masele -Kahama
28.Antony Mavunde-Dodoma hizi ndio data nilizopata
 
Said Mtanda-Mchinga
Kigwangallah Nzega vijijini
Murji-Mtwara Mjini
 
Katika hali isiyo ya kawaida wanaCCM jimbo la Lushoto wameamua kujaribu ujinga kwa kumchagua mgombe wa darasa la saba kuwakilisha katika uchaguzi mkuu 2015. katika chama hicho kilibahatika kupata magombea wenye Elimu ya juu sana na ya hali ya juu lakini wanaCCM wakaamua kuchukua maamuzi ya kumpitisha mgombea wa darasa la saba na kuwapotezea wasomi wote majanga. walipo ulizwa kwa nini wameamua kumpitisha mtu wa darasa la wengi wakadai eti aaaaah! bwana bora tumpitishe mjinga mwenzetu kwa sababu hao walisoma hawana msaada wowote.:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
 
Kwa sababu tayari aliisha ingia kwenye kashfa ya Rushwa sitashangaa na hayo matokeo, lakini kwa kuwa CCM Rushwa ni moja ya IBADA ndani ya chama viongozi wa juu hawajasema na hawatasema chochote
 
Achakudesa jerry kapitwa nyingitu na panjuan ramesh
 
Back
Top Bottom