B bia JF-Expert Member Joined Feb 9, 2011 Posts 257 Reaction score 30 Jul 31, 2012 #21 nipo iringa mgomo ni zaid ya jana
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Jul 31, 2012 #22 Vijana wa nape hao.. Mue mnaangalia taarifa ya habari itv na star tv ndio mtaujua ukweli
Mtu wa Pwani JF-Expert Member Joined Dec 26, 2006 Posts 4,191 Reaction score 677 Jul 31, 2012 #23 chezea serikali weee, madaktari wanajipa moyo wataajiriwa kwengine, wanahitajika sana. jee walimu walio wengi hawa wa voda fasta wanaweza kujiamini kama wana soko hilo ?
chezea serikali weee, madaktari wanajipa moyo wataajiriwa kwengine, wanahitajika sana. jee walimu walio wengi hawa wa voda fasta wanaweza kujiamini kama wana soko hilo ?
J Johnson Mdoe Mchaina R I P Joined Dec 1, 2011 Posts 138 Reaction score 23 Jul 31, 2012 #24 Hata mbuyu ulianza kama mchicha
Kinyamagala Senior Member Joined Oct 13, 2011 Posts 154 Reaction score 29 Jul 31, 2012 #25 hata hivyo nimejifunza jambo,walimu wa sekondari ni waoga sana kuliko wa Primary