Updates: Misri vs Tanzania [Michuano ya makundi kufuzu AFCON 2017]

Updates: Misri vs Tanzania [Michuano ya makundi kufuzu AFCON 2017]

huwa na cheka sana kwa huzuni niki skia hii team inaitwa Taifa star..ivi wanajielewa kwel wachezaji wetu...!!??? mm kama ni player niki itwa kuvaa uzi wa taifa sikubali aibu misri na vita vyote mpra wake hauko kwenye form anakupga 3-0 je uyo Nigeria si atatupga cup..!!??

ushauri wangi kwa Tff waivunje iyo mabao star tujitoe kwenye mashindano yote kwa miaka 5 tu suke team ya ushindani bila ivyo......
 
sasa hata hao watatu wa yanga waliocheza na umewataja hapo ni "mafundi " kweli? unaweza kumfananisha dida na ivo mapunda? unaweza kumfananisha nadir haroub na hassan isihaka? unaweza kumfananisha oscar joshua na mohamed hussein tshabalala? na hao watatu uliowataja hayo magoli yote matatu yanawahusu na yamepitia kwao. delete kabisa michezaji ya yanga timu ya taifa weka wachezaji wengi na wanaojua wa simba sports club. mtanuna sana mwaka huu!

Ok, unaweza kuwa una hoja nzuri kwamba mabao tuliyofungwa yamepitia kwa hao watatu wa Yanga lakini pia mbona hayo ya mbele viz. Lisammata, Likiemba, Liulimwengu, Likazimoto (yote haya yana nasaba za Simba) hayakufunga hata bao moja? Laiti yangefunga hata bao la kuotea likakataliwa tungelia na mwamuzi katunyonga! Litimu lote limejaa mizee isiyokuwa na jipya katika soka la Bongo.

Jamal Malinzi fire out Nooij otherwise you gonna be fired in lieu of him!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom