Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Malinzi hawezi mfukuza #Noij kwa kuwa anakula 30% ya mshahara wa huyu kocha mtalii
sasa hata hao watatu wa yanga waliocheza na umewataja hapo ni "mafundi " kweli? unaweza kumfananisha dida na ivo mapunda? unaweza kumfananisha nadir haroub na hassan isihaka? unaweza kumfananisha oscar joshua na mohamed hussein tshabalala? na hao watatu uliowataja hayo magoli yote matatu yanawahusu na yamepitia kwao. delete kabisa michezaji ya yanga timu ya taifa weka wachezaji wengi na wanaojua wa simba sports club. mtanuna sana mwaka huu!