Updates: Misri vs Tanzania [Michuano ya makundi kufuzu AFCON 2017]

Yani huyu kocha hamna kabisa, you are playing away, you have forced a draw in the first half, second half all you have to do is pack the bus, let them come to you then unawapiga counter!!!
 
Duh. Jamaa wametuzidi kwa kila kitu uwanjani. Hata wakitupiga 5 za harakaharaka sawa tu. Nimeshindwa kuminya naniliu huku
 
Dk 69

Salah anatupiga bao la 3
 
Mkuu mchezaji aliyetoka Simba ni Henry Joseph na si Henry Morris
 
Kuna mtu alisema humu , halftime wameenda kutuvutia kasi ....na kweli !!
 
Wanatufunga lakini tunawalamba chenga na jezi zetu mpya. Wakirudi Malinzi inabidi tufanye uzinduzi wa bukta, ule wa juzi ulikuwa wa fulana tu.
 
Kwel hatujui mpira tuhamie bongo flava tuu I
 
hivi kwanini nilipenda mpira?

kwanini ? naumia Sana kuona tunaendelea kuwa wateja wa kila timu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…