Bila shaka! Au jina bado ni tatizo?
Kwa T. Stars hii sina hata tone la matumaini. Wameenda mapumziko kutuvutia kasi, kichapo hakiepukiki.
hivi kwanini nilipenda mpira?
kwanini ? naumia Sana kuona tunaendelea kuwa wateja wa kila timu
Bila shaka! Au jina bado ni tatizo?