Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
- Thread starter
- #41
Nimeeimiss hii game kwa sababu ya usingizi, nilikuwa na hamu kweli ya kumwona MVP Kevin Hart, nimekuja kuona clip aliyopigwa cross over na dogo wa kike!
Hahah...yule dogo wa kike alikuwa serious vibaya mno...
Hart kidogo akae kwa ile cross over...

