Updates: Panya Niliyemjeruhi Nimemkuta Kwenye Dustbin Hawezi Kukimbian Nimemmalizia Na Ufagio

Updates: Panya Niliyemjeruhi Nimemkuta Kwenye Dustbin Hawezi Kukimbian Nimemmalizia Na Ufagio

Aisee .....ile chai bado inaendelea ....weka picha ya huyo panya uliyeuwa ili tukuamini
 
Mkuu, are you serious??? Japo haya mambo ni kweli yapo, but tuaminishe kwa picha ya panya
 
Naweka Sasa Hivi Nasikia Watu Wanampeleka Hospitali Kafunga Kauli
 
Ndio maisha kukaba au nini hiki!!!
 
hakuna uhusiano wa panya na jirani.. wewe mpige kiberiti
 
so funny...
sasa wewe unahisi huyo jirani yako ana uhusiano gani nahuyo panya?
 
Back
Top Bottom