Updates: Panya Niliyemjeruhi Nimemkuta Kwenye Dustbin Hawezi Kukimbian Nimemmalizia Na Ufagio

Updates: Panya Niliyemjeruhi Nimemkuta Kwenye Dustbin Hawezi Kukimbian Nimemmalizia Na Ufagio

Mmmh kama inakujakuja hivi, kwa hiyo panya akifa na huyo jamaa anakufa!!!
 
Kama Hukusoma Thread Asubuhi Mambo Ya Mshana Jr Hujui Kinachoendelea
 
Asubuhi Alivyojikokota Akajificha Kwenye Dustbin Nimemkuta Nikamaliza Kabisa.Kwa Jirani Aliyesema Nimemuumiza Naona Watu Wanaingia Na Kutoka Kazidiwa Ghafla.Panya Nimemmwagia Mafuta Ya Taa Nataka Niwashe Jehanam
Weka picha za huyo panya, na uambatanishe pia picha za kwa jirani wakiwa wanatoa makochi nje,
Vinginevyo unatafuta kiki
 
[HASHTAG]#Lucky[/HASHTAG] Dube Peleka Kodi Ya Watu Tangu Useme Unakwenda Kuchukua Cheti Origional Hujarudi
 
Back
Top Bottom