UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
- Thread starter
-
- #21
so funny...
sasa wewe unahisi huyo jirani yako ana uhusiano gani nahuyo panya?
Mmmh kama inakujakuja hivi, kwa hiyo panya akifa na huyo jamaa anakufa!!!
Weka picha za huyo panya, na uambatanishe pia picha za kwa jirani wakiwa wanatoa makochi nje,Asubuhi Alivyojikokota Akajificha Kwenye Dustbin Nimemkuta Nikamaliza Kabisa.Kwa Jirani Aliyesema Nimemuumiza Naona Watu Wanaingia Na Kutoka Kazidiwa Ghafla.Panya Nimemmwagia Mafuta Ya Taa Nataka Niwashe Jehanam
Weka picha za huyo panya, na uambatanishe pia picha za kwa jirani wakiwa wanatoa makochi nje,
Vinginevyo unatafuta kiki
Sasa mkuu,[HASHTAG]#Lucky[/HASHTAG] Dube Peleka Kodi Ya Watu Tangu Useme Unakwenda Kuchukua Cheti Origional Hujarudi