Updates rwanda vs taifa stars

Updates rwanda vs taifa stars

Kwa "performance" ya namna hii, tunawaonea bure washabiki tukiwalaumu wanapokosa uzalendo na kuanza kuzomea!

Dakika 8 zimesalia pambano kumalizika.
 
Hawa makocha wetu baada ya mechi watakuja na lundo la visingizio!

tena huyo Julio anavyojua kuupepeta, inabidi waandishi waende na karatasi za kutosha kuandika sababu za kuchemka. Anyway tuone itatokea nini mpaka mwisho.
 
Hawa makocha wetu baada ya mechi watakuja na lundo la visingizio!

well said maana nakumbuka julio alinukuliwa na vyombo vya habar kwamba timu imekamilika na hata akifungwa hawatakuwa na visingizio na itakuwa sehemu ya mchezo kwa maana ya kufunga kufungwa au dro
 
makocha wawili wanaofundisha timu ya taifa katika level mbalimbali i.e timu ya taifa U23 na timu ya taifa ya wanawake, lakini bado mambo ni magumu.
 
mi ndo naanza kuangalia mida hii.Kwa hali naona ha2wezi kurudisha hilo goli.
 
Naona kinachoendelea uwanjani mmekiruka: mmeanza kumjadili Julio kama Julio na Mkwasa kama Mkwasa, ausiyo!!!
 
Kwa "performance" ya namna hii, tunawaonea bure washabiki tukiwalaumu wanapokosa uzalendo na kuanza kuzomea!

Dakika 8 zimesalia pambano kumalizika.

Basi tena ndo tusha lala hapa!
 
Wavunje timu wajitoe kwenye michuano yote tujipange tena
 
Back
Top Bottom