Ngapi ngapi mpaka sasa wajameni....
Hivi kwenye soka huwa hakuna kunyanyua mikono ukatoka uwanjani, Kama kwenye ndondi, ukiona umezidiwa? Kama hilo linawezekana yanga si wangetoka uwanjani yalipofika matatu ili kupunguza aibu.
Nchunga ajiandae na ndiyo atajua nini maana ya wazee wa Yanga!Dah!!!.....
Hii ni FEDHEHA sasa.....
Watani hamna hata HURUMA kwa Mgonjwa?........Vibaya hivyo....
Btw....Tunastahili aina yoyote ya KIPIGO kutoka kwa SIMBA...
Hongereni sana Watani kwa ushindi huu mnono ambao utachagiza upokeaji wa Kombe la Ubingwa wa EPL.....
Kweli nimeamini(mwaka 2011/2012) aungurumapo Simba mcheza nani?........Tunajipanga nasi mwakani.....
Kila la heri katika CAF CL........
Tusinyimane mualiko na kadi ya sherehe ya UBINGWA jamani...
Bala.
Yanga poleni sana. Kichapo si kidogo.
Dah!!!.....
Hii ni FEDHEHA sasa.....
Watani hamna hata HURUMA kwa Mgonjwa?........Vibaya hivyo....
Btw....Tunastahili aina yoyote ya KIPIGO kutoka kwa SIMBA...
Hongereni sana Watani kwa ushindi huu mnono ambao utachagiza upokeaji wa Kombe la Ubingwa wa EPL.....
Kweli nimeamini(mwaka 2011/2012) aungurumapo Simba mcheza nani?........Tunajipanga nasi mwakani.....
Kila la heri katika CAF CL........
Tusinyimane mualiko na kadi ya sherehe ya UBINGWA jamani...
Bala.
Simba 2-0 Yanga wakiwa na Nurdin Bakari na wengine 10Simba nitaendelee kuwalaumu kwa kitendo cha kumwachia nurdin Bakari kwenda yanga..ni mchezaji mzuri sana na tangu aende yanga amekuwa akitusubua sana