Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Refa alishasema lazima aipe simba penalt nu simba damu.Mpira wa bongo fitna zimezidi badala mpira uchezwe mnamtegemea refa
Hata mimi imenishtuahii ni hujuma ya wazee?
watakimbilia wapi masikini
Sasa Simba wajaribu vijana wa kikosi cha pili tu! Hakuna kitu hapa, ngoma tushashinda hii!
leo hawapigi refa?
...simba kuna watu wana maradhi ya mtima, mtauwa jamani. Khaaa!