Updates: Simba SC vs Yanga SC Uwanja wa Taifa

Updates: Simba SC vs Yanga SC Uwanja wa Taifa

Yanga hawatosahau hiki kipigo, kama wamefumaniwa vile! PENALT!
 
Kwa yanga ipi ya kusbiri kuona ushindi mwisho wa mecchi?zaidi watachapwa bao la 3 na la 4

duh kumbe wakati naandika tayari goa mbili zimechaingia nyavuni .mchumba wetu leo anameremeta ile mbaya watajuta kuifahamu simba ya mwaka huu
 
NANUKUU POST YANGU HII SIKU YA MECHI YA SIMBA NA ALHLY

Baaada ya kufunga goli 3 katika dakika
66,77,88 nilieleza hii ilikuwa na maana sana kinyota kwa simba mwaka huu kisoka.

NAMBA YA BAHATI (6+6+7+7+8+8=42=4+2=6) KWA SIMBA NI 6 (s-perfect number). Namba hii kwa vile huunda na namba 1,2 na 3 inaashiria kuwa Simba katika mashindano haya itakuwa na uwezo wa kufunga kati ya goli 1, 2, 3 au 6 katika michezo yao yote. Ukifuatilia mechi zao za nyuma ndivyo alivyokuwa. Namba 6 huashiria furaha hivyo kila mechi simba watakayocheza tutegemea furaha kutoka kwao
 
mafisangoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo 5
 
safi sana aisee

itabidi timu itoke kwa wazee iende wa watoto sasa
 
Refa alishasema lazima aipe simba penalt nu simba damu.Mpira wa bongo fitna zimezidi badala mpira uchezwe mnamtegemea refa
 
Back
Top Bottom