Updates: Simba SC vs Yanga SC Uwanja wa Taifa

Updates: Simba SC vs Yanga SC Uwanja wa Taifa

Sasa Simba wajaribu vijana wa kikosi cha pili tu! Hakuna kitu hapa, ngoma tushashinda hii!
 
Ninatabiri kwa uhakika kabisa kwamba kesho Malapa watafukuza kocha na kuwatuhumu wachezaji kadhaa kuuza mechi!
 
jamaniee natoka kidogo nikirudi hapa mtaniambia kuwa ngapi ngapi
380585_365449770169187_100001125014314_966270_1933763947_n.jpg
 
watakimbilia wapi masikini

Lakini bakora si dawa. Nadhani wanacotakiwa kufanya ni kukaa na kufanya tathmini ya nini kimewatokea msimu huu kwani ni mmoja kati ya misimu ambayo wamaefanya vibaya sana. Kimsingi nikiona wanaanza kuchapana bakora nitawadharau sana. Si wakati wa kumtafuta mchawi ila pale ambapo wanadhani ndipo walipoangukia wanatakiwa kupanyia kazi
 
...simba kuna watu wana maradhi ya mtima, mtauwa jamani. Khaaa!
 
Kuwa mshabiki wa Mnyama raha sana, hulali na huzuni.
 
Simba tulitegemewa kushinda ila sio
kiasi hiki yaani ni raha mpaka basi..
 
Yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom