Updates: Simba SC vs Yanga SC Uwanja wa Taifa

Mnyama oyeeeew okwiiiiii asante endeleza mapambano zaidi leo ni leo msema kesho mwongo
 
Kama yanga wataonyesha nidhamu basi tutawaachia maana ilivyo kama tukiwafunga jangwani hakuta kalika...lakini wakileta ujeuri tuna watandiaka vitatu kama kawaida yetu....

Magwanda anakuwa Yanga, nataani nikuone na gwanda la kijani au njano!
 
Yanga ipo kabambe kama chama kubwa CHADEMA. Lazima tushinde.
 
Dak 41, Nsajigwa kaonyeshwa kadi ya njano.
 
piga mdenda hawa watoto hawana heshima kabisa mineno mingi sana na ngumi ..cheza mpira hatutaki ndondi kama mnataka ndondi ombeni pambano na matumla sio kwenye footbal

Leo St unaleta raha ndani ya gemu
 
Simba nitaendelee kuwalaumu kwa kitendo cha kumwachia nurdin Bakari kwenda yanga..ni mchezaji mzuri sana na tangu aende yanga amekuwa akitusubua sana

Kweli Crash ...
 
Nawaomba wana-Yanga wenzagu tumalize game ili tujipange kwa msimu ujao. Lakini msimu huu game limekataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…