Updates: Simba SC vs Yanga SC Uwanja wa Taifa

Updates: Simba SC vs Yanga SC Uwanja wa Taifa

mechi ya azam fc 1 -1,jkt oljoro 0 polisi 0, ruvu 1 na villa 0 kama villa watafungwa basi watakuwa wameshuka daraja...
 
Mabadiliko, Katoka Mwinyi Kazimoto ameingia Mkude kwa Upande wa Simba na Yaw Berko ametoka kaingia yule kipa namba tatu wa Yanga simkumbuki jina.
 
Dak ya 55, Simba wanapata bao la pili Mfungaji Felix Sunzu.
 
Back
Top Bottom