Shakazulu
JF-Expert Member
- Feb 23, 2007
- 957
- 281
Inaonekana unabahatisha vikosi; Omega Seme wa Yanga yuko na timu ya vijana sudan, au wamerudi leo? hata kama amerudi si rahisi apangwe leo.........
Kama nabahatisha ni sawa tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana unabahatisha vikosi; Omega Seme wa Yanga yuko na timu ya vijana sudan, au wamerudi leo? hata kama amerudi si rahisi apangwe leo.........
hadi sasa dk28 ni 0 kwa 0Kwa mnaongalia ligi ya Uingereza msisahau kutupa updates za New Castle na Man City.
Asante mkuu, huku taifa Mnyama anaongoza kwa goli la mapema lililofungwa na Emmanuel Okwi.hadi sasa dk28 ni 0 kwa 0
Kwa mlioko nyumbani TBC Taifa wako hewani, dakiki ya pili Simba wanapata bao.
92.3 fmume tune ngapi? Mi niko dar
Mkuu nimekujibu ni 92.3 FM, wa Man city ni 89.0 FMJamani hio tbc inapatikana wapi kwa dar? maana nime tune wee nikaishia kuipata mechi ya man city
92.3 fm
Mkuu nimekujibu ni 92.3 FM, wa Man city ni 89.0 FM
Kwa mnaongalia ligi ya Uingereza msisahau kutupa updates za New Castle na Man City.