[emoji23] Anko wengerOFFICIAL: Jamie Vardy has signed a new four-year contract at Leicester.
[emoji23] Anko wenger
Ni mara chache sana kwa manager kukubali kuwa wanamtaka mchezaji flani hata kama wameshatuma offer tayari, labda tu majadiliano yawe hatua za mwisho.AW alishatoa hii statement mwanzoni kua Vardy anabaki Lei kama wapo ambao walikua wanategemea tofauti basi hawamfahamu Le Prof.