Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Duh! Uko beer ya ngap mda huu?officially rich mavoko ndani ya wcb
Hawa jamaa wanafanya biashara wanuza mchezaji bei kubwa wananunua replacement kwa bei ndogo japo replacement yenyewe haiwezi kuziba pengo moja kwa moja,Kama kkuna timu zinapitaga kwenye msukosuko wa usajili barani ulaya ni BvB na Southampton. Kila wakijaribu kujenga vikosi vyao, vinatokea vilabu vinabomoa. Ref Gotze, Lewandovsky, Hummel kwa dotmund. Soton ndio ilipita kwenye kipindi kigumu sana. Waliuza wachezaji 6 waliokuwa kikosi cha kwanza mpaka kocha. Kwa sasa wapo tena kwenye msukosuko. Kocha wao Everton wanamtolea macho. Na tayari wameshamtamanisha. Atakuwa analipwa pesa nyingi kuliko hata mou!