Tanzania vs Botswana ... ndani ya miezi miwili tumecheza nao. Wao ni namba 140 katika orodha fifa ... Tanzania ni ya 120. Na mechi zote tumecheza Tz. Tff watafute nchi zilizopo juu yetu tucheze nazo. Kwa mechi hizi changamoto ni ndogo mno. Sijui kuna tatizo gani???