Updates Tanzania vs Botswana

Updates Tanzania vs Botswana

Tanzania vs Botswana ... ndani ya miezi miwili tumecheza nao. Wao ni namba 140 katika orodha fifa ... Tanzania ni ya 120. Na mechi zote tumecheza Tz. Tff watafute nchi zilizopo juu yetu tucheze nazo. Kwa mechi hizi changamoto ni ndogo mno. Sijui kuna tatizo gani???
waqo ni 114,usipotoshe ila tumewafunga rank za mwezi ujao watshuka tutapanda
 
Back
Top Bottom