Updates: Uchaguzi wa viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

Updates: Uchaguzi wa viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

Jamani wanaofanya uchaguzi chonde chonde huyo malinzi hatumtaki tuchagulieni mtu mwingine huyo uyanga unamsumbua mpaka timu ya taifa iko nafsi ya 139 tff ya malinzi kila siku ni makomeo
 
Wakuu leo yametoka majina ya wanasoka wanaogombea urais wa TFF. Orodha ni hii:-
  • Jamal Malinzi (Yanga SC)
  • Imani Madega (Yanga SC)
  • Wallace Karia(sijui)
  • Fredrick Masolwa(sijui)
Kifupi ni kwamba pamoja na ingizo jipya toka Yanga SC yule adui namba moja wa soka la Tanzania amerudi tena kutaka tumpe ulaji aendelee kula. Huyu si mwingine bali ni Malinzi. Wote ni mashahidi kwa kipindi chote cha uongozi wake hakuna cha maana alichokifanya zaidi ya kudidimiza soka na kujali tumbo lake na wale ndugu zake aliowajaza pale Karume.

JAMALI AMEFANYA HAYA
UFISADI WA KUTISHA TFF

Ripoti ya ukaguzi wa fedha za udhamini wa Kampuni ya Bia Tanzania kwa Taifa Stars iliyotolewa Oktoba 2, 2014, inaelezwa kuwa, mbali na mambo mengine, TBL iliamua kufanya ukaguzi huo ili kujiridhisha kama shirikisho linazingatia makubaliano yaliyomo kwenye mkataba.

Inaelezwa katika ripoti hiyo ambayo uongozi wa juu wa TBL uliithibitishia Nipashe jana kwamba ilifanywa na Mkaguzi Mkuu wake wa ndani, Richard Magongo, kuwa kati ya Novemba 13, 2013 (siku 11 tangu uongozi wa sasa wa TFF uingie madarakani) na Februari 15, 2014, Dola za Marekani 315,577 (Sh. milioni 688.368) zilitumika bila ya nyaraka za kuthibitisha matumizi yake kinyume cha makubaliano ya mkataba wa pande hizo mbili.

Kati ya Novemba 11, 2013 na Machi 11, 2014, Dola za Marekani 381,248 (Sh. milioni 831.616) pia zilichotwa kwenye akaunti hiyo na kutumika kwa shughuli ambazo hazijaanishwa katika mkataba wa TBL na TFF, ripoti inabainisha.

Mchanganuo wa ripoti hiyo unaonesha kuwa, miongoni mwa waliotajwa kwenye ripoti hiyo kutumia fedha hiyo ni pamoja na rais wa TFF, Jamal Malinzi, ambaye Desemba 24, 2013 alilipwa Dola za Marekani 159 kupitia vocha yenye namba 1075 zikiwa ni gharama za malazi hotelini (Hotel accommodation).

Ripoti inaonesha kuwa, siku hiyo hiyo (Desemba 24, 2013), Malinzi alilipwa na TFF Dola 10,000 kupitia vocha namba 1077 (Repayment to Jamal Malinzi/Marejesho ya fedha za Jamal Malinzi), kisha Februari 6, 2014 akalipwa Dola 15,934 (Loan Repayment to Jamal Malinzi/Marejesho ya mkopo kutoka kwa Jamal Malinzi) na baadaye kulipwa Dola 69,471 kupitia vocha namba 1098 na Dola 63,735 kupitia vocha namba 1401.

Wengine waliopewa fedha hiyo ya udhamini wa TBL kwa Taifa Stars ni aliyekuwa msaidizi wa Malinzi, Juma Matandika, Ali Ruvu na mwingine aliyetajwa kwa jina la S. Madadi ambao kwa pamoja walilipwa Dola 1,084 kupitia vocha namba 828 Februari 6, 2014.

Ripoti pia inabainisha malipo ya Dola 3,500 Januari 16, 2014 kwa ajili ya ziara ya Katibu Mkuu na Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF jijini Nairobi.

Pia zimo Dola 4,630 zilizochotwa Desemba 24, 2013 kugharamia mtihani wa utimamu wa mwili kwa waamuzi (Cooper test for referees), Dola 4,120 zilizotolewa siku hiyo hiyo kwa ajili ya Ally Mayay na Ayubu Nyenzi kufanya ziara Uganda na Dola 1,638 ambazo zilitolewa siku hiyo hiyo zikiwa fidia ya malipo ya deni la TFF kulipia ziara ya uongozi wa shirikisho mkoani Mwanza.

Dola 4,023 zilitolewa Desemba 24, 2013 kwa ajili ya posho ya sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya kwa wafanyakazi wa TFF na Dola 30,000 zilitumika kwa semina elekezi kwa makocha iliyofanyika Lushoto (coach retreat at Lushoto), ripoti inasema.

Inaongeza: "Dola 2,829 zilitumika kutoa rambirambi na misaada, Dola 3,298 zikakopeshwa kwa Chama cha Soka Mbeya huku Dola 989 zikitolewa kwa Chama cha Soka Mkoa wa Mtwara zikiwa ni msaada."

Katika ripoti hiyo, inaelezwa kuwa, Dola 90,000 zilitumika kulipia fidia ya kuvunjwa kwa mkataba wa aliyekuwa kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen na Dola 34,177 zikatumika kununua magari mawili aina ya Toyota Hiace.

Ripoti inaeleza kuwa, kulikuwa na mawasiliano rasmi kati ya maofisa wa TFF na TBL kabla ya kufanya malipo kwa Poulsen na ununuzi wa magari hayo.

UKABILA ULIOKIDHIRI
Baada ya tu ya ndugu yetu huyu kuingia madarakani, vipaumbele vikabadilika ghafla na ku-format management ya TFF na ikajaza wahaya kibao. Katibu mpya akawa Mhaya, Mkurugenzi wa sheria na utawala ni Mhaya, Mshauri wa masuala ya kiufundi ni Mhaya, Mwenyekiti mpya wa kamati ya maadili ni Mhaya, Mwenyekiti mpya wa kamati ya Uchaguzi ni Mhaya

FITNA KWA WANAMICHEZO
Kuna taarifa zilisema Mtangazaji nguli wa michezo hapa nchini na aliyepata kuwa msemaji wa Club ya Simba Clifford Mario Ndimbo alifukuzwa Radio Times Fm ambapo ndio alikuwa akiendesha kipindi chake cha michezo kiitwacho "Wizara ya Michezo"

Taarifa za ndani zinasema kuwa Mkurugenzi wa radio hiyo alifikia hatua hiyo kwa kile kinachosemekana kuwa ni kulinda maslahi ya viongozi wa michezo hasa mpira wa miguu waliokuwa wakianikwa hadharani "uozo" wao kupitia segment ya "Dokodoko" ambayo ilijikita katika kueleza ukweli wa masuala mbalimbali ya mpira wa Tanzania.

Wafuatiliaji wa kipindi cha Wizara ya michezo walisema wana muda mrefu sana hawajasikia segment ya "Dokodoko" ambayo ndio iliibua skendo kubwa ya Rushwa TFF na mambo mengine, na kupelekea kesi kwenda mahakamani na TFF wakashinda

Wanamichezo wengine waliokumbwa na fitna za Malinzi ni Haji Manara msemaji wa Simba, wakala Dr.Ndumbaro

SOKA LA VIJANA/WATOTO
Wakati anaingia madarakani alikuja na mipango kibao kwenye soka la watoto. mpango wa kuunda kikosi cha Taifa cha watoto umri chini ya miaka 13 kitakachokua pamoja kuelekea fainali za Afrika umri chini ya miaka 17 mwaka 2019. Mpango wa kuunda kikosi cha taifa umri chini ya miaka 14 mwaka huu,kikosi kitakachokaa pamoja LordBaden school kujiandaa na Africa qualifiers under 17 mwaka 2016. Mpango wa Taifa wa kuhakikisha kila mkoa unakuwa na youth football centre kwa ajili ya age group 8-17

Aje hapa aseme haya yote yaliishia wapi?

SOKA LA WANAWAKE
Soka la kinamama ilikuwa kipaumbele chake wakati wa kampeni. Alikuja na mpango wa uanzishwaji wa kombe la Taifa la wanawake Desemba mwaka 2014. Mpaka leo hii hakuna kitu kama hicho.

KUDHALILISHWA KWA SERENGETI BOYS

Kutokana na Malinzi kutafuta mapato ya TFF ilifikia kipindi TRA wakawa wanaidai TFF kiasi kikubwa cha kodi. Mamlaka ya Mapato Tanzania ilifikia hatua ya kuwashusha Njiani Timu ya vijana chini ya miaka 17 TRA wakilitaka Basi lililokua limewabeba vijana hao ili kulipiga mnada waweze kulipa deni la kodi.

Jamali Malinzi ni mwanachama wa JF. Baada ya kuona anafanya madudu katika soka aliikimbia JF na kuibukia magazetini huku akikashifu kwamba JF tunamuonea na kumzushia. Baada ya kubanwa sana na wanaJF akaomba uzi wake uliokuwa unawekwa gundi pale juu, uondolewe kuficha aibu. Tunamuomba aje humu kujibu hoja za wadau, ikiwa ni pamoja na sisi kumpa facts kwa nini tutampiga chini uchaguzi ujao.

Itaendelea kila siku
Too low, hopeless
 
Sio vizuri
kuwachafua wagombea.
Tunajua chama chetu cha mpira kimeanza mchakato wa uchaguzi wa viongozi
wake.
Kutoa maoni kwenye jukwa kama hili ni vizuri, ili tusiokuwa na ufahamu kuhusu maswala ya Soka tuweze kupata
maarifa.
Kwa upande wangu naona sio vizuri kutumia jukwaa hili kwa lengo la kuwachafua wagombea fulani.
Hatari hapa ni kuwa wagombea wataanza kutumia jukwaa hili kuchafuana na kuumizana.
Ningependa mtoa mada utuletee wasifu wa kila mgombea, na hasa uzoefu wake katika fani ya Soka. Ili wadau tuwapime kwa kina, na pia wagombea wanaweza kuja hapa kueleza ni kwanini wameamua kugombea.
Kama utataka kukosoa basi tuletee hapa makosa ya kila mgombea ili tuone nani amekosea wapi katika fani ya mpira.
Ukimkosoa mmoja au wawili itaonekana labda unania ya kumchafua ili mgombea wako ashinde.
Na inawezekana ikaonekana kama ni majungu na fitina juu ya mgombea fulani.

Samahani kama nimetoka nje ya mada.
 
Amaa kweli mhaya!!!. Aaache kuiba, kubeba ndugu zake? .
Ukifika jela serial ya makabila wezi ni hii hapa.
1.Wahaya.
Hawa akipewa ofisi mtajuta balaa akiwa siyo mfanyakazi wa umma wengi wao majambazi wa silaha kali. Tff itaponaje na malinzi?.
2.Wachaga
Kama wahaya tu utofauti ni mdogo sana kwenye ujambazi wa silaha wamo. Utapeli na mengineyo. Akipewa ofisi ya umma lazima mlie. Rejeeni akina Basil mlamba aliyekuwa waziri wa fedha.
3.Wakulya
Hawa wakiwa kazini ni waaminifu ktk kazi za umma ila wasio na kazi ni majambazi full usipime. Ukatili mwanzo mwisho.
3.Wasukuma.
Ujambazi wa silaha kuiba ngombe zizi zima hawabebi mmoja mmoja na akipewa ofisi wote mtajua tu.
4.Nyakyusa .
Yaani hawa wana upendo balaa.Ukisikia upendo nenda mbeya. Wanaume wa kinyakyusa akiingia kwenye ujambazi ni noma. Si wengi bali wachache tu wanaoingia ni tishio. Akipewa ofisi ya umma watu wa kabila jingine jiandaeni kwa kwenda. Hadi mlinzi wa geti atakuwa mnyakyusa. Rejeeni idara ya bima zamani wakati mkuu akiwa wa mbeya.
5.Mnyiha
Hajui kulemba wao ujambazi tu. Akipewa ofisi ni waaminifu mtafaidi wote bila ubaguzi.
Wengine wote ktk wizi ujambazi na ubadhirifu wa mali za umma wanawaiga hao hapo juu. Hiyo ndiyo top 5 yangu.
Yafuatayo ni makabila wanayoongoza kwa uaminifu nchini Tanzania na hawana ukabila. 1.Singida(wanyaturu,wanyiramba)
Uzuri wao, upole wao, akipewa ofisi huitendea haki vema. Ni waaminifu kwa kiasi kikubwa.
2.Rukwa,wafipa
Inasemekana kuwa mkoa huo ulishindwa kuendelea kiuchumi kwa kuwa wasomi wote robo tatu waliamua kuishi maisha ya kitawa yaani wengi mapadri, maaskofu, masista na wachache sana baada ya kushindwa maisha ya utawa ndipo wakaamua kuitumikia serikali. Yaani kuajiriwa serikalini ilikuwa ni baada ya mtu kushindwa maisha ya utawa kwa kufukuzwa utawani.
Ni wasiri mno. Unaweza kukaa na mfipa miaka nenda rudi karibu usimjue tabia yake halisi. Katika kufuata sheria ndiyo msingi wao. Ni waoga sana pia ni jasiri sana ktk vitu wanavyovijua. Rejea mh. Pinda, Kardinali Pengo, Mzindakaya.Wengi wamejaa usalama huko.
3.Kigoma,waha.
Kama nilivyowasema wafipa ila hawa msimamo ni kidogo sana ila bado ni watendaji wazuri wakiwa ofisini.Mha akiwa mkuu ofisi fulani ufanisi utauona vizuri. Wana papara ya maisha. Pia wanawake ni waaminifu sana ila midomo.
4.Ruvuma,wangoni.
Ni wataratibu na wanatimiza wajibu wao. Akiwa msimamizi mkuu wa ofisi lazima mafanikio muyaone. Udhaifu wao mkubwa ni pombe.
5.Iringa,Wahehe,wabena,wakinga
Akiamua kusoma husoma kweli hawana ubabaishaji, ni wachapa kazi. Wanaridhika na anachokipata. Wizi ni adimu sana kwao. Wanaamini ktk akiba zaidi. Mafanikio yao hutokana na kujiwekea akiba kujinyima. Ni waaminifu. Ni wadhaifu ktk masuala ya jadi, yaani imani za kichawi ndiyo msingi wao.
Kama wapo waaminifu basi ni wafuasi wa makabila hayo juu.
Hivyo Jamal Malinzi yule mhaya hawezi kubadilika mpaka yesu anarudi na awamu hii tena atapita kutokana na tabia nilizzieleza hapo juu. Rais mpya wa tff atakuwa Jamal Malinzi labda asiwe mhaya nimjuaye. Malinzi ataendelea kuiumiza Tff daima.
 
Sioni wana simba wakichukua fomu ya urais Kaburu kachukua Umakamu Wambura amechukua Umakamu bado tumeona tuwahachie Yanga waongeze TFF milele tutakuwa tunapewa pointi wakiona mambo magumu kwa Yanga wanatunyanganya
 
So far wote waliojitokeza wana nasaba za Yanga wa Kimataifa. Wote waili walikwahi kuwa viongozi wa Yanga.

Muda ndiyo huu, hao wenye nasaba za matopeni wajitokeze ili wajumbe wa mkutano mkuu wa TFF waje watende haki. Au hakuna wenye sifa. Jaribuni kumshawishi Komandoo wenu Hassan Dalali ajitokeze. Wapi Kaburu? Naye Bi. Hindu hana sifa?

Hizi kelele za Malinzi au sasa Madega anaipendelea Yanga ziiishe
Kama tukienda na aina hii ya fikra "mfu" ndiyo tutalididimiza soka letu
 
Wakuu Nawasalimu, Ninajaribu kupiga Ramli hapa lakini sipati Jibu kuhusu Uchaguzi wa TFF mpaka sasa Wagombea wa Urais wanazidi kumiminika na mpaka mchana huu wafuatao wamekwisha chukua FOMU

Jaman Malinzi
Iman Madega
Wallece Karia
Fredrick Karia
Athuman Nyamlani

Embu Toa maoni yako hapa..
 
Kama tukienda na aina hii ya fikra "mfu" ndiyo tutalididimiza soka letu
Unasahau hilo lilikuwa jibu kwenye post. Uliisoma hiyo post ili upate maudhui vizuri?

Mleta mada anampinga Malinzi kwa u Yanga wake tu. Hana hoja nyingine ya maana
 
Na
So far wote waliojitokeza wana nasaba za Yanga wa Kimataifa. Wote waili walikwahi kuwa viongozi wa Yanga.

Muda ndiyo huu, hao wenye nasaba za matopeni wajitokeze ili wajumbe wa mkutano mkuu wa TFF waje watende haki. Au hakuna wenye sifa. Jaribuni kumshawishi Komandoo wenu Hassan Dalali ajitokeze. Wapi Kaburu? Naye Bi. Hindu hana sifa?

Hizi kelele za Malinzi au sasa Madega anaipendelea Yanga ziiishe
MI nafikiri inapotoka nafasi ya uongozi, ni first kwa yoyote mwenye sifa kuomba nafasi. HAIJALISHI yy ni mapenzi wa timu gani. Km Madega au Kaburu wanao sifa za kuondoka pale, wachama wagombee. Teachers kaingia sasa za U Simba na U Yanga kwenye uchaguzi wa tff
 
Back
Top Bottom