Updates: Uchaguzi wa viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

Huwa namkubali zamumba wa African Lyon nadhani anaitajika kiongozi mwenye maono kama zamunda japo simjui ila jitiada zake zinafaa kuwa kiongozi mkuu wa TFF wengine hapo bado sijaona wajanja wajanja tu
 
Huko vizuri mkuu.mleta mada na mahaba yake na maslahi binafsi.
 
Huwa namkubali zamumba wa African Lyon nadhani anaitajika kiongozi mwenye maono kama zamunda japo simjui ila jitiada zake zinafaa kuwa kiongozi mkuu wa TFF wengine hapo bado sijaona wajanja wajanja tu
rahem zamunda mwarabu yule watamfanyia figisugisu
 
Acha unafiki kagombee wewe.. we unadhani rais wa TFF ndio huamua kila kitu?? Kuna kamati mbalimbali ambazo hushirikiana...
 
Hao wote yanga tupu..
 
Badala ya kujikita kwenye merits za hao wagombea eatu wamejikita kwenye usimba na uyanga wao..tutapiga mark time sana kwenye soka kwa mentality hii.

Halafu
mdau wa soka mwenye akili hizi za usimba na uyanga eti nae anakuwa hajui kwa nini taifa stars inatoa droo nyumbani na lesotho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…