Updates: Upo maeneo gani, matukio gani kuelekea kuingia mwaka mpya 2018?

Updates: Upo maeneo gani, matukio gani kuelekea kuingia mwaka mpya 2018?

Kwenye mji wa Malkia
Baridi kaliiiiii
Nami nataka kwenda kujionea tena ya saa 6 usiku mitaa ya Big Ben baada ya miaka kadhaaa.. then mengine yatajijua.
 
Kitandani nataka kulala ila kuna mikelele sn eneo Tabata Segerea

Tabata Segerea ukisema unalala wa Seaview na wa Masaki wasemeje?

Sema upo Segerea unasubiri pakuche utoke nje!


( kidding my friend usirushe usingizi wako kwa Mitusi)
 
Aisee Mungu awe nanyi mi nalala na huu ndio uchangiaji wangu wa mwisho kwenye mitandao. Happy New year
 
Back
Top Bottom