Kwelii? Basi tutafahamiana Inshallah ingawa mimi huku kwa wazazi tuu sio lwangu nimekuja kula sikukuuahatutajuana tu kwakweli ! mi mgeni yespa !metokea forest!nimehamia kwangu rasm ! mazimbu rd naingia sana hapo
Upo Contener nn?Niko Kibaha muda huu, tunakula Bataz na watoto wakali Sana
upo had lini mamyKwelii? Basi tutafahamiana Inshallah ingawa mimi huku kwa wazazi tuu sio lwangu nimekuja kula sikukuu
we nawe unazijua sehem nyingii!!!!!!!Upo Contener nn?
J4 mumieupo had lini mamy
Niko River road Njoo tupige story MkuuUpo Contener nn?
Haahhahaa kuzurula tu kuijua dunia, nakushangaa umekaa tuu hapo kwako maghorofani usiende hata nyumbani park, viber, nyamatandala, Motown, black & white ili uuanze mwaka vzrwe nawe unazijua sehem nyingii!!!!!!!
i wish tmrw tuonnane ! nitakuchekJ4 mumie
ahahha mie kote huko kivuruge ! mie kijiwe changu blak n whte aisee !na ni active memberHaahhahaa kuzurula tu kuijua dunia, nakushangaa umekaa tuu hapo kwako maghorofani usiende hata nyumbani park, viber, nyamatandala, Motown, black & white ili uuanze mwaka vzr
Endelea tu na hao watoto wakali mm mpole sana mkuu[emoji3] [emoji3]Niko River road Njoo tupige story Mkuu
Ha ha haaa okMsalimie Mike Adenuga
Ha ha
Hahahahaha Wengine ndio maana tumeingia jf Kuliwaza mkuu.Huna hata Mamalia wa kukuliwaza? Pole sana
Ewaaa, hapo pametulia saana!ahahha mie kote huko kivuruge ! mie kijiwe changu blak n whte aisee !na ni active member
Unajua nmekusubiri mama [emoji23] [emoji23] [emoji23]ngoja nikupm nije
Anytime mumiei wish tmrw tuonnane ! nitakuchek
Teh teh teh wanena vyema sana mkuuUsisahau kubeba Rambo ya dharura ikitokea utaamua kusindikiza nae Mwaka Mpya
Mo fe lowo bi AdenugaHa ha haaa ok