Hahaha hahaha hatari Sana, visingizio kibao yaani saizi ana hali mbaya saanaa1. Umeme umakata
2. Simu haina chaji
[emoji196][emoji196][emoji196]
Hako kajamaa ni kapumbavu sana.Huyu haruna muhutu sijui mtutsi tutamfukuza bongo. Sie hatupend vita
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla faulo haijapigwa, Kashasha akasema "aah namjua huyu mpira wake ni wa ujanja ujanja tu hewezi kushinda goli pale" alafu kweli jamaa likapiga mnazi.😂😂😂Ila sisi Yanga tunaupiga mwingi Barcelona haioni ndani, Mo linger anapiga faulo kama Beckham
Alisikika mlevi mmoja akisema
Hahaha NdamaaaaaIla sisi Yanga tunaupiga mwingi Barcelona haioni ndani, Mo linger anapiga faulo kama Beckham
Alisikika mlevi mmoja akisema
Hahaaa!yaani Yanga bila uchawi haiwezekaniYale magoli ya Singida ndio yalikua apigwe Yanga kwenye mechi na Simba. Ile si ilikua tarehe 08? Amakweli mganga wao apewe pongezi
cc Shadeeya
[emoji196][emoji196][emoji196]Kabla faulo haijapigwa, Kashasha akasema "aah namjua huyu mpira wake ni wa ujanja ujanja tu hewezi kushinda goli pale" alafu kweli jamaa likapiga mnazi.[emoji23][emoji23][emoji23]
UmefufukaHT KMC 0- Yanga SC 0
Wachezaji wapo vyumbani kupata mawaidha ya bench la ufundi kabla ya kumalizia ng'we ya mwisho
Lini nilikufa?Umefufuka
Hawa nao KMC wanacheza lege lege sana,wanatakiwa wakaze,jihadi mwanzo mwisho. Hawakutazama atletico madrid jana..
Sent using Jamii Forums mobile app