Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,112
- 4,361
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majaliwa na Kaitaba ni pagumu sana,droo kwake ushindiYanga bado anasubiriwa Majaliwa Stadium, Kaitaba, Karume kuwakabili Namungo, Kagera na Biashara sijui ataanzia wapi kutoboa hizo gemu za wabishi hawa! Mweee hurumaaaaa
Ndio wasomi tulio nao zama hizi.Ni aibu kubwa kwako na klabu kuamjni masuala ya uchawi mpirani kwa Zama hizi...ni aibu kubwa
Tuache. 😅Amkeniiiii. Amkeniiiii Amkeniiii bwanaaaa Utopolo fc wamefungwa tena bwanaaaaaa uuuuuuuuuu hahahaaaaaaaa
Isingewezekana tuharibu siku ya kinamama duniani, tunawaheshimu na tunawapenda sana. Tarehe nane ilibidi tusherehekee pamoja na nyie wenzetu katika maishaUZI WA MIPASHO. Teh teh
Ama kweli tarehe 08 hamuezi isahau kirahisi. Yaani wake kwa waume wote mumepata vichefu chefu.
LAMBENI NDIMU HEBU. 😎
🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
uchawi upo,wote tulijionea siku ileHalafu wanajiita wasomi. 🤣🤣🤣
Sasa kwa nini ulogwe wewe peke yako? 😂😂 Una kipi cha ziada ambacho timu zingine hawana?uchawi upo,wote tulijionea siku ile
🤣🤣🤣
Bahati nzuri uchawi hua haudumu, unaishaga nguvu kama hi ilivotokea jana...kapigwa na wachovuuchawi upo,wote tulijionea siku ile
🤣🤣🤣
Uchawi uliisha nguvu bana😂😂😂Sasa kwa nini ulogwe wewe peke yako? 😂😂 Una kipi cha ziada ambacho timu zingine hawana?
Sijakuelewa hata. 🤣🤣Isingewezekana tuharibu siku ya kinamama duniani, tunawaheshi na tunawapenda sana. Tarehe nane ilibidi tusherehekee pamoja na nyie wenzetu katika maisha
Pambaneni na ubingwa wenu feki huko. 😎😎😎Uchawi uliisha nguvu bana😂😂😂
Tarehe nane March siku ya kina mama tuliwaachia mtufunge nyinyi wenye sherehe yenu ili tusiwaharibie furaha katika siku muhimuSijakuelewa hata. 🤣🤣
Kwa hiyo huamini uwezo wetu? Naomba mpite kwenye FA hata kiujanja ujanja tu ili tukutane tena mwaka huu ndio utajua kama kachumbari ni mboga au inasaidia tu kulisha ugali😂😂😂Pambaneni na ubingwa wenu feki huko. 😎😎😎
Uwezo gani huo? Wa kutoa ist au wa miamala? Teh teh.Kwa hiyo huamini uwezo wetu?