Updates Uwanja wa Uhuru,VPL: KMC Vs Yanga African

Updates Uwanja wa Uhuru,VPL: KMC Vs Yanga African

hahahjaha
IMG-20200311-WA0068.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga bado anasubiriwa Majaliwa Stadium, Kaitaba, Karume kuwakabili Namungo, Kagera na Biashara sijui ataanzia wapi kutoboa hizo gemu za wabishi hawa! Mweee hurumaaaaa
Majaliwa na Kaitaba ni pagumu sana,droo kwake ushindi
 
NAWAZA TUSINGEFUNGWA HIZI NYONGO ZENU MUNGEZITOLEA WAPI ETI? 🤔🤔🤔🤔

MIKIA BANA SHUKURUNI MMEPATA PA KUPOOZEA MACHUNGU. 😂😂😂
 
UZI WA MIPASHO. Teh teh

Ama kweli tarehe 08 hamuezi isahau kirahisi. Yaani wake kwa waume wote mumepata vichefu chefu.

LAMBENI NDIMU HEBU HALAFU MKIMALIZA MKUMBUKE MPIRA UNA MATOKEO MATATU NA KUFUNGWA IKIWEMO. 😎
 
UZI WA MIPASHO. Teh teh

Ama kweli tarehe 08 hamuezi isahau kirahisi. Yaani wake kwa waume wote mumepata vichefu chefu.

LAMBENI NDIMU HEBU. 😎

🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Isingewezekana tuharibu siku ya kinamama duniani, tunawaheshimu na tunawapenda sana. Tarehe nane ilibidi tusherehekee pamoja na nyie wenzetu katika maisha
 
Sijakuelewa hata. 🤣🤣
Tarehe nane March siku ya kina mama tuliwaachia mtufunge nyinyi wenye sherehe yenu ili tusiwaharibie furaha katika siku muhimu

Sasa juzi wanaume tuliingia kazini mtu aliyejipendekeza akala za uso za kutosha, ila Yanga jana rangi yenu na uwezo wenu halisi ndio ulionekana. Umenipata sasa mamii?
 
Back
Top Bottom