tete'a'tete
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 472
- 66
Jamani mwenye updates yeyote ya yale mashamba viwanja vya Fukayosi ile project ya kkkt mwenge naomba anijuze juzi jumapili sikuweza kwenda kwenye kikao pale mwenge kanisani sijajua waliongelea nini baada ya waumini waliotoa hela zao baada ya kupelekwa fukayosi kukatokea ugomvi mkubwa kidogo wanakijiji watumalize kwa mawe tumewavamia maeneo yao...please huo mradi sijajua kama ni watu wamejilia hela zetu au vipi naombeni mnijuze kilichoongelewa...