Updates ya Mashamba / Viwanja ya Fukayosi Bagamoyo Project ya KKKT Mwenge

tete'a'tete

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2010
Posts
472
Reaction score
66
Jamani mwenye updates yeyote ya yale mashamba viwanja vya Fukayosi ile project ya kkkt mwenge naomba anijuze juzi jumapili sikuweza kwenda kwenye kikao pale mwenge kanisani sijajua waliongelea nini baada ya waumini waliotoa hela zao baada ya kupelekwa fukayosi kukatokea ugomvi mkubwa kidogo wanakijiji watumalize kwa mawe tumewavamia maeneo yao...please huo mradi sijajua kama ni watu wamejilia hela zetu au vipi naombeni mnijuze kilichoongelewa...
 
Mkuu sijui wewe waongelea block lipi,kuna jamaa yangu alinunua huko kwa kupitia KKT Kijitonyama, akaweka kijana wake pale, yule kijana akakatwa mapanga na hao jamaa, ila hakufariki.Lile eneo ni pori sasa kama ukienda peke yako halafu ndio ukakutana na hao jamaa wanaweza kukumaliza.Nadhani ni hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…