Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
yeye si anaogopa maandamano na sie tumepata fimbo ya kumpigia!Vijana wameandaa maandamano mengine tar 29 October ili kuwakumbuka wapendwa wao waliokufa mwaka Jana , siku hii hatatoka MTU ndani zaidi ya siku hii ya Leo....Kwa miaka yote ya Samia kutakuwa na shida kama hizii
Fimbo hii ni Kali Sanayeye si anaogopa maandamano na sie tumepata fimbo ya kumpigia!