Uko sahihi mkuuNimeona hii kitu.
Kuna makala nimeona wanasema Apple (kwa mfano) anahitaji China kuliko China inavyomuhitaji Apple.
Kuna moja ikasema Bentley mauzo yake 22% anategemea China.
Tesla soko lake la pili kubwa duniani ni China, baada ya nyumbani Marekani.
Kenya wameanza kutumia mabasi ya umeme ya BYDSijui ni wizara ya mambo ya nje au ya viwanda, wangefanya mchakato mapema.
Angalau BYD Tanzania ikawepo, tukawa wa kwanza kwa East Africa.
Mwaka jana BYD washaingia South Africa na wana magari wanayatengeneza locally. Inaleta faida kwa ajira na tunapata 0 kilometa cheap.
BYD Kenya ipo ila showroom tu na Nigeria.
Tunasubiri kwa hamu 🤣BYD Seagull
Gari dogo kutoka kwa BYD imekua upgraded. Hizi Seagull ndio gari ndogo kabisa kutoka kwa BYD zinashare platform na E series (mfano E2). Ni ndogo kidogo kwa Dolphin.
View attachment 2976341View attachment 2976342View attachment 2976343
Kilichompa umaarufu uyu gari sio muonekano, bali ni bei (value for money).
Kwa $10,000 tu unapata 74 hp kutoka kwa either 30 kWh (range = 305 km) au 38 kWh (range ni 405 km) LFP BYD Blade Battery.
Hii wakiitumia tumia itashuka bei hadi $4,000 hafu ndio wandava tunanunua.
Ni maumivu kwa mtanzania wa kawaida, ukisoma haya unajisikia uchungu, lakini hii haibadilishi chochote sababu viongozi wetu hawajali standard ya maisha ya binadamu wa kawaida, wanasiasa wanajua taifa hili lina watu wajinga ambao ni wepesi kwa kudanganyika kwa vitu vidogo, na wenye akili wachache wameamua kuwa wanyonge tu au kuunga mkono juhudi mradi waisha kwa amani na mikono iende kinywaniWaafrika tuna jifunza nini katika huu uzi ? Mfano tuchukulie nchi yetu Tanzania.
Ningependa kuona hili swali likijibiwa na watu humu.
Hawawezi kukubali, kuja kuweka kiwanda hapa, hali watanzania hali tete, hata kuuza gari zao soko la ndani ni changamoto.Hivi serikali yetu haiwezi kuona fursa angalau kuwashawishi moja ya makampuni ya Electric cars mfano BYD kutoka china waje kuwekeza nchini?
BYD wako kasi sana. Ni future (Toyota) soon tutaanza kuyaona kila mahali.
Hii ndo yenyewe changamoto ni barabara zetu za bongoMG EXE181 hypercar ina brake za Parachute
Okay, hii chombo imezinduliwa na MG Auto, ni single seat EV hypercar ikiwa na ground clearance ndogo na teardrop shape inayoipa drag coefficient ya 0.181.
View attachment 2976861
Hii gari ina jumla ya 1000+ hp (eactly figure hawakusema), na top speed ya 415 km/h, na inaweza accerelate 0-100 km/h kwa sekunde 1.9 tu. Accerelation sio kubwa kutisha kwasababu tushaona Lucid Air imeenda 1.7 sec na Elon Musk ametuahidi Roadster yake itatumia chini ya sekunde 1 kufika iyo speed (Sema huyu jamaa usimuamini kila anachoongea)!
View attachment 2976865
EXE181 ina electric motors 4 na ndani haina fancy interior ila muundo na steering kama ya F1, ukiwa umekaa kibabe kama Lewis Hamilton.
View attachment 2976868View attachment 2976871View attachment 2976872View attachment 2976873
Sijui ukileta utaendesha wapi, ila tungependa ukilete.
Ngumu kujali maslahi ya taifa sababu wametanguliza maslahi binafsi, usikute katika hilo dili alikunja dola milioni 100 yake mfukoni, so hajali kabisa kuhusu tanzania.Magu aliwapa UK wachimbe nickel pale bukoba,
Kwanini asinge waambia wajenge kiwanda cha kuzalisha hizo battery za Gari ili kupunguza gharama za uendeshaji na kuleta ajira Kwa wa tz.
Lakin jiwe akasaini ile mkataba wenye Thamani ya pounds £ 500 millions, harakaharaka kama chizi vile, bila kujali maslahi mapana ya Nchi 🇹🇿
Hizi hata nyumbani unachaji, vinastiri kwa maisha yetu ya kibingobongo.Vipo ivo vidogo sema range yake ndogo sana. Unakuta kilometa 40 hadi 60. Pale Kariakoo opposite na Pizza Hut kuna charging stations kabisa.
Hata uzalishaji wa battery ,China Yuko miles mbele ya USA na Germany .Mzee semi Tesla zili achiwa chache mno, pepsi mwenyewe Ali agiza 100 toka 2017, aka pewa 36.
Shida hakuna battery za kutosha Mzee, na kasema mpaka 2025 labda.
Sisi tuna hiki hapaWaafrika tuna jifunza nini katika huu uzi ? Mfano tuchukulie nchi yetu Tanzania.
Ningependa kuona hili swali likijibiwa na watu humu.
Hiyo tip inatosha kabisa mkuu shukraniMkuu, YouTube ila Live wanabana si unajua Wachina na YT hamnaga. Kuna link ya Weibo pia, itategemea na gari ambalo linazinduliwa. Kwahiyo nyungi sahivi siangalii kama Live.
Sasa hii ndinga Bongo unaendesha tz sehemu Gani, Maana Hata maeneo Prime, roads Zina mashimo.MG EXE181 hypercar ina brake za Parachute
Okay, hii chombo imezinduliwa na MG Auto, ni single seat EV hypercar ikiwa na ground clearance ndogo na teardrop shape inayoipa drag coefficient ya 0.181.
View attachment 2976861
Hii gari ina jumla ya 1000+ hp (eactly figure hawakusema), na top speed ya 415 km/h, na inaweza accerelate 0-100 km/h kwa sekunde 1.9 tu. Accerelation sio kubwa kutisha kwasababu tushaona Lucid Air imeenda 1.7 sec na Elon Musk ametuahidi Roadster yake itatumia chini ya sekunde 1 kufika iyo speed (Sema huyu jamaa usimuamini kila anachoongea)!
View attachment 2976865
EXE181 ina electric motors 4 na ndani haina fancy interior ila muundo na steering kama ya F1, ukiwa umekaa kibabe kama Lewis Hamilton.
View attachment 2976868View attachment 2976871View attachment 2976872View attachment 2976873
Sijui ukileta utaendesha wapi, ila tungependa ukilete.
Wale mazezeta wa wizarani akina Kitila Mkumbo wa anawaza kuwaleteeni takataka za kihindi Mahindra [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijui ni wizara ya mambo ya nje au ya viwanda, wangefanya mchakato mapema.
Angalau BYD Tanzania ikawepo, tukawa wa kwanza kwa East Africa.
Mwaka jana BYD washaingia South Africa na wana magari wanayatengeneza locally. Inaleta faida kwa ajira na tunapata 0 kilometa cheap.
BYD Kenya ipo ila showroom tu na Nigeria.
Mahindra hamna gari pale. Hahahaa.Wale mazezeta akina Kitila wa anawaza kuwaleteeni takataka za kihindi Mahindra [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Takataka ambazo hata India penyewe watu hawazikubali