Elon anashusha bei za magari uko kama kichaa.Nili penda Mazda arata, bz3x, ji yue 07. Huawei s9 ile chuma iko poa pia.
Sama nime penda presentation walio fanya, sio makelele Sana, 😂.
Elon musk aji tafakari kwa makini, zile chuma zinazo feli feli, zita mshusha sokoni
Huyu anawafuasi wengi. Nategemea akileta gari watu watajikata vichwa watanunua kama vichaa.Apple nae alikuwa ana magari, na alikuwa ana zi show off kidogo.
Watu Waka nunua hisa kabisa, Waki jua mzigo una enda kuoindua meza.
Cha kushangaza, muhuni kasema labda baadae Sana.
Ko shughuli IPO.
Haval bongo zipo tayariIla madza kwenye design ni balaa Sana nimeona hiyo Toyota nao ni bonge moja chuma yamaana Sana.
BMW safari hii kachemka kinoma na hiyo gari yake ya i4 min cooper.
Juzi nilikuwa nasoma mtandao wa Quora digest watumiaji wa Tesla wanalalamika Sana magari Yana shida nyingi hii inapelekea china kuteka soko la Ev's duniani maana jamaa Wanatengeneza vyuma vya maana na bei zao ni kitonga
angalia SUVs za kampuni ya kichina ya HAVAL haya magari yanagombewa Huko Australia kama pipi , nahisi ndani ya miaka hii miwili yataingia bongo nahisi hapa itakuwa mwisho wa magari ya kijapan kama ilivyo mabus ya Scania dhidi ya YUTONG
TRA wanadai kodi kiasi gani?
We never know inaweza ikatokea hiloWatengeneze tu na z solar, mchana unatumia solar tupu na kuchaji betri, usiku unatumia betri yako.
Siyo kwa CCM ndugu yangu, hiki chama tumekulia humo kupitia wazee wetu ila siyo kwa maendeleo yenye kukupa wewe haueni.Acha, unakutana na matuta ova shamba la viazi. Bado barabara mbovu kuna sehemu haupeleki.
Pia, wangetekeleza ile kauli ya magari ya umeme yaje na free kodi.
Hii iendane na sera ya bwawa la Nyerere.
Hawa wana bei za kizalendo kabisaBYD
Wakali wa EV China kwa sasa BYD (Build Your Dreams), nao wamezindua vyuma viwili leo kwenye maonesho.
Ocean M ambayo ni Hatchback. Itauzwa around $27,000 kuanzia mwaka huu.
View attachment 2974745
View attachment 2974748
Denza Z9 GT ni sedan ambayo itacompete kwenye soko na Porsche Panamera. Hii gari ni powerful ina 1000hp.
View attachment 2974747
BYD ni watabe wa kutengeneza gari kwa bei rafiki, mfano wametoa mwaka huu Seagull kwa $10,000/= tu.
Hii haina maana kwamba Ocean M na Denza watauzaa cheap, kwasababu pia wana magari ya bei kubwa sana kuzidi $150,000 mfano super cars U8 na U9.
Itakuwa ni hatua kubwa mnoo na jambo jema.We never know inaweza ikatokea hilo
Photovoltaic solar energy tech ni moja ya sekta Mchina anafanya vizuri sana duniani akiwa kinara
Mchina anaongoza kwenye uzalishaji, R&D, installation na exports.
Kasha ahirisha utengenezaji wa magari hayo, ana sema sio Jambo la Leo au keshoHuyu anawafuasi wengi. Nategemea akileta gari watu watajikata vichwa watanunua kama vichaa.
Shida sisi tuna Sera za kijinga Sana, viongozi wetu hata kutazama kwa kina Hawa wezi.Itakuwa ni hatu kubwa mnoo na jambo jema.
Eti miaka ya 60 tulikuwa nao sawa kiuchumi, wenzetu wameaonga mbele sisi tumerudi nyuma, inasikitisha.
Watu binafsi wanazo kweli? Au zipo serikaliniHaval bongo zipo tayari