Updates za Beijing Auto Show 2024 (25 April - 4 May)

Updates za Beijing Auto Show 2024 (25 April - 4 May)

Huawei & BAIC BluePark wazindua Stelato S9

Yeah. Hawa Hawa Huawei wanaotengeneza simu, ndio waliotengeneza gari la Huawei Luxeed S7 kwa kushirikiana na Chery, sasa wameshirikiana na Baic Blue Park kutengeneza Stelato S9.

arenaev_000.jpg
arenaev_001.jpg
arenaev_003 (1).jpg

Hii sedan kwa maelezo ya Huawei ni luxury sedan itayokuja compete na BMW 7 series, Mercedes Benz S Class, Audi A8 nk.

Itauzwa €38,000/= tu.
 
KIA
Kia Motors kutoka Korea nao walikuwepo na wamezindua Kia EV5 Long Range, Sonet na Uni Wheel.

Kia EV5 ni SUV ya umeme ambayo itatembea kilometa 720 kwa single charge, ikiwa na battery ya 88.1 kWh na motor yake ikiwa na 160 kW hivi.
kia-ev5-gt-spied-in-china.jpg

Hii gari inabwembwe kama ADAS L2, seat zenye massage, friji etc.

Kia Sonet ni special kwa Chinese Market, bado hawajasema kama watatuachia na sisi.
 
Apple nae alikuwa ana magari, na alikuwa ana zi show off kidogo.
Watu Waka nunua hisa kabisa, Waki jua mzigo una enda kuoindua meza.

Cha kushangaza, muhuni kasema labda baadae Sana.
Ko shughuli IPO.
Huyu anawafuasi wengi. Nategemea akileta gari watu watajikata vichwa watanunua kama vichaa.
 
Jaecoo J6 tena.
Tumetoka kuongelea J7 ambayo ni SUV kutoka kw Jaecoo sub brand ya Cherry.

Sasa wamezindua J6 ya kibabe zaidi.
2024_AutoChinaBeijing_Jaecoo_J6_iCar_03-3.jpg
2024_AutoChinaBeijing_Jaecoo_J6_iCar_03-14.jpg
2024_AutoChinaBeijing_Jaecoo_J6_iCar_03-4-850x567.jpg


Hii ni EV yenye range ya kilometa 501, pia ina solar panel na ADAS tech kutoka kwa DJI, wakali wa drones camera.

Ukiiangalia inafanana na Land Rover Discovery au Suzuki Jimny flani, ila ndio ivo kikubwa tuvimbe.
 
Ila madza kwenye design ni balaa Sana nimeona hiyo Toyota nao ni bonge moja chuma yamaana Sana.
BMW safari hii kachemka kinoma na hiyo gari yake ya i4 min cooper.

Juzi nilikuwa nasoma mtandao wa Quora digest watumiaji wa Tesla wanalalamika Sana magari Yana shida nyingi hii inapelekea china kuteka soko la Ev's duniani maana jamaa Wanatengeneza vyuma vya maana na bei zao ni kitonga

angalia SUVs za kampuni ya kichina ya HAVAL haya magari yanagombewa Huko Australia kama pipi , nahisi ndani ya miaka hii miwili yataingia bongo nahisi hapa itakuwa mwisho wa magari ya kijapan kama ilivyo mabus ya Scania dhidi ya YUTONG
Haval bongo zipo tayari
 
Watengeneze tu na z solar, mchana unatumia solar tupu na kuchaji betri, usiku unatumia betri yako.

Mchina nyoko ndio maana mmarekani anampiga vita.

Befoward nimeiona xiaomi su7 zimetembea km kama 30 hivi dola 30k na ushehe,
Sasa najiuliza vipi hawa TRA!!?
 
Watengeneze tu na z solar, mchana unatumia solar tupu na kuchaji betri, usiku unatumia betri yako.
We never know inaweza ikatokea hilo

Photovoltaic solar energy tech ni moja ya sekta Mchina anafanya vizuri sana duniani akiwa kinara

Mchina anaongoza kwenye uzalishaji, R&D, installation na exports.
 
Acha, unakutana na matuta ova shamba la viazi. Bado barabara mbovu kuna sehemu haupeleki.

Pia, wangetekeleza ile kauli ya magari ya umeme yaje na free kodi.
Hii iendane na sera ya bwawa la Nyerere.
Siyo kwa CCM ndugu yangu, hiki chama tumekulia humo kupitia wazee wetu ila siyo kwa maendeleo yenye kukupa wewe haueni.
 
BYD
Wakali wa EV China kwa sasa BYD (Build Your Dreams), nao wamezindua vyuma viwili leo kwenye maonesho.

Ocean M ambayo ni Hatchback. Itauzwa around $27,000 kuanzia mwaka huu.
View attachment 2974745
View attachment 2974748
Denza Z9 GT ni sedan ambayo itacompete kwenye soko na Porsche Panamera. Hii gari ni powerful ina 1000hp.
View attachment 2974747
BYD ni watabe wa kutengeneza gari kwa bei rafiki, mfano wametoa mwaka huu Seagull kwa $10,000/= tu.

Hii haina maana kwamba Ocean M na Denza watauzaa cheap, kwasababu pia wana magari ya bei kubwa sana kuzidi $150,000 mfano super cars U8 na U9.
Hawa wana bei za kizalendo kabisa
 
We never know inaweza ikatokea hilo

Photovoltaic solar energy tech ni moja ya sekta Mchina anafanya vizuri sana duniani akiwa kinara

Mchina anaongoza kwenye uzalishaji, R&D, installation na exports.
Itakuwa ni hatua kubwa mnoo na jambo jema.

Eti miaka ya 60 tulikuwa nao sawa kiuchumi, wenzetu wamesonga mbele sisi tumerudi nyuma, inasikitisha.
 
Itakuwa ni hatu kubwa mnoo na jambo jema.

Eti miaka ya 60 tulikuwa nao sawa kiuchumi, wenzetu wameaonga mbele sisi tumerudi nyuma, inasikitisha.
Shida sisi tuna Sera za kijinga Sana, viongozi wetu hata kutazama kwa kina Hawa wezi.

Imagine Kuna mazao Yana hitajika mbele kwa kiasi Kikubwa.
Ila kutoa vibali ili yapelekwe ni kasheshe, wame amua kushikilia mpini
 
Back
Top Bottom