BungelaKatiba2014tz
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 1,231
- 649
Jamani yeyote mwenye updates za nini kinaendelea Bungeni Dodoma manake naona leo TV zote kimya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani yeyote mwenye updates za nini kinaendelea Bungeni Dodoma manake naona leo TV zote kimya.
Nini maana ya jina lako sasa?!
Bia ya mlevi
Hivi bunge la halitakua live kabisa? Mana jana toka itokee kasoro ya kura tu tbc wakasepa jumla leo ndo kimyaaa
Jibu linajitosheleza. Hatutegemei kukuona kwenye yale majukwaa mengine hasa ya udaku na mapenziJina hilo maana yake nitakuwa nikichangia sana kwenye mada zinazohusu Katiba Mpya na hasa mjadala wa Bunge unaoendelea kwa vile ni tukio muhimu sana katika nchi yetu. Kwa hiyo siyo lazima niwe wa kwanza kujua kinachoendelea ila ningefurahi kama ningekuwa wa kwanza kufahamishwa kinachoendelea.
Tutakuwa tuna-updatiana mkuu kadri itakavyowezekana, ili mwisho wa siku tutoke na kitu badala ya kusimuliwa.Hakika Bubge la Katiba tunakutekemea utupe hizo updates. Au unatutega?
Jibu linajitosheleza. Hatutegemei kukuona kwenye yale majukwaa mengine hasa ya udaku na mapenzi
Badili jina mkuu, ndio uulize swali lako vinginevyo njoo na majibu ya swali lako kutoka kwenye vyanzo husika.Jina hilo maana yake nitakuwa nikichangia sana kwenye mada zinazohusu Katiba Mpya na hasa mjadala wa Bunge unaoendelea kwa vile ni tukio muhimu sana katika nchi yetu. Kwa hiyo siyo lazima niwe wa kwanza kujua kinachoendelea ila ningefurahi kama ningekuwa wa kwanza kufahamishwa kinachoendelea.
Jina hilo maana yake nitakuwa nikichangia sana kwenye mada zinazohusu Katiba Mpya na hasa mjadala wa Bunge unaoendelea kwa vile ni tukio muhimu sana katika nchi yetu. Kwa hiyo siyo lazima niwe wa kwanza kujua kinachoendelea ila ningefurahi kama ningekuwa wa kwanza kufahamishwa kinachoendelea.
Huko kuna wenyewe, mimi ni junior kwenye jukwaa hili na ni kwa sababu ya tukio la kihistoria Katika nchi yetu ndilo limenivutia na kuamua kuwa member. Udaku na Mapenzi mkuu kwani lazima huku kama vipi si unakwenda kabisa salon, kwenye kumbi za starehe na kusoma majarida ya mapenzi n.k