Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni habari ya kuchekesha na kushangaza kupata kutokea duniani. Halafu hao ndio mnataka eti wapambane na magaidi!Askari anashikwa mikono na mwandishi wa habari anapiga yowe kuomba msaada?
Askari anashikwa mikono na mwandishi wa habari anapiga yowe kuomba msaada?
Ipo siku haya yote yatakua wazi hayatafichika tena , si muda mrefu kwani watu kila kukicha wanafunguka fahamu zao.Ni bingo kuongoza watu ambao kila kitu wamemwachia Mungu.