Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato

Mbunge wa jimbo la Kawe akasuluhishe hili jambo maana wanaoumia ni wapiga kura wake
 
Tanzania ni Nchi isiyokuwa na sheria. Tupo kama matumbili.
 
Wanajeshi wamezidi kujimwambafai mitaana. Hata sijui kwanini wanakuwa majeuri mitaani? Wanajeshi unatakiwa uwe mpole mitaani kwani wewe kazi yako ni kulinda wananchi. Sasa inakuwaje wanajeshi unapigania na raia ambaye Hana mafuzo yoyote ya ki jeshi. Hilo liwe fundisha kwa wanajeshi wengine.
 
Hiko wanachotak fany to risk to their job
 
Usichanganye mada!

Hapa mjeda kazingua...
Dereva Bajaj kajitetea!

Finito!
 
Kwa Malaya wachafu na wasafi egole
Kuna Malaya moja Ina ngeo inakula smart Kama Haina akili vizuri ni maji kunde HV. Ile Haina akili kabsa inaongea matusi sana ikilewa
 
Sidhani kama aliyeandika story hii kuna ukweli 100% lakini ukweli pekee Mwanajeshi kauliwa na mtuhumiwa kashikwa sina shaka nalo, hapa haijalishi nani alikosa ila anayeweza kuchomoa kisu na kumuuwa mtu kwa hali labda alikuwa na hasira au kuchokozwa niamini, huyu atakuwa kisha fanya sana kujeruhi watu au kutishia watu na kisu. Na kama alikuwa kachukuwa kisu kwenda kukabiliana na aliyemwibia pikipiki basi alikuwa amedhamiria kuumiza mtu. Tabia haianzi siku moja.

Ila story kusema alisema nipishe marehemu kakataa haingii kwenye akili njia zote ushindwe kupita mpaka ukamvae mtu kwa matusi na mwisho kuwa huu mtu kupoteza maisha lakini pia yeye pia mwendo kaumaliza. Nini faida ya yote haya? somo siku zote tujifunze ku control hasira zetu nje hata kama mtu amekuudhi kiasi gani humu mitaani tunapishana na watu kila aina, wengine wezi, wauwaji, wavuta bangi na wengine stress za maisha tu mtu kaachwa huko anakuja maliza hasira kwako.
 

kumtukana mtu na kwenda kumtandika makofi kisa kakwambia upishe apite umeziba njia, shida ilianzia hapa.

Sio kila binadamu anakubali uonevu, Mjeda alivuka mipaka pale alipokwenda kumnasa vibao kijana wa bajaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…