Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Au yule wa Pale ubalozi wa Ufaransa.....Kato ni Shujaa ni kama alivyo shujaa Abdallah Mwamindi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au yule wa Pale ubalozi wa Ufaransa.....Kato ni Shujaa ni kama alivyo shujaa Abdallah Mwamindi
Tanzania ni Nchi isiyokuwa na sheria. Tupo kama matumbili.Afande ( Luteni Kanali ) aliyeuawa jana Kawe Jirani na Baa maarufu ya Bombardier anaitwa Muna.
Marehemu ni Mkazi wa Mkoa wa Singida.
Marehemu Afande Luteni Kanali Muna alikuwa kapandishwa Cheo na alikuwa anaenda kuwa Mkuu wa Kikosi Mkoani Arusha na leo Ijumaa ndiyo alikuwa anatakiwa Kuripoti tayari kukabidhiwa Majukumu.
Marehemu Afande Luteni Kanali Muna aliuliwa kwa Kuchomwa na Kisu cha Kukunja na Kijana aitwae Kato huku Mkewe na Mwanae wa Kiume wakiwa ndani ya Gari.
Marehemu Afande Luteni Kanali Muna alikuwa ameenda Kubadili Tairi za Gari lake kwa Mfanyabiashara aitwae Chinga ambaye huwa Wanakunywa wote katika Baa yake ya Maifea Kawe ambayo ndiyo huwa anapenda Kunywa na hata wakati anachomwa Kisu hicho alikuwa amekunya kidogo ila anajitambua.
Afande Luteni Kanali Muna ndiyo alikuwa wa Kwanza kumkabili ( Kuzozana ) na Kijana ( Mchoma Kisu aitwae ) Kato baada ya Kuombwa asogeze Gari lake ili apite ndiyo Marehemu Afande Luteni Kanali Muna kwa Jeuri na Ubabe akamjibu Dogo ( Kato ) vibaya na kwenda Kumzaba Makofi mawili matatu.
Kijana aliyemchoma Kisu kilichopelekea Umauti Afande Luteni Kanali Muna aitwae Kato alikuwa anataka kuwahi Kawe mwisho Maringo ambako aliambiwa kuwa Mwizi wa Bajajj yake kaonekana na kwamba hata hicho Kisu alichokuwa nacho ( alichommaliza nacho Marehemu Afande Luteni Kanali Muna ) kilikuwa ni cha kwenda Kukabiliana na huyo Mwizi wake ila Marehemu Afande Luteni Kanali Muna alijiingiza tu mwenyewe katika 18 zake.
Mwili wa Marehemu Afande Luteni Kanali Muna umeagwa leo ( Mchana ) huu Hospitali ya Jeshi Lugalo na sasa uko safarini Kusafirishwa kwenda Kwao kwa Watani zangu Wanyiramba na Wanyaturu Mkoani Singida kwa Maziko rasmi Kesho.
Mchoma Kisu ( Muuaji Kato ) amekamatwa Jana akiwa njiani Kutoroka na Wanajeshi walitaka wapewe Wao, ila Jeshi la Polisi likawakatalia na Kumshikilia wao wakisema hiyo ni Kesi ya Kiraia na siyo ya Kijeshi kama ambavyo Wanajeshi walikuwa wanataka Kuilazimisha iwe hivyo.
Jana Wakazi wa Kawe ( hasa wa eneo husika ) walipokea Kipigo Kikali sana kutoka kwa Wanajeshi ( hasa MP ) kutokea Kambini Lugalo ambapo GENTAMYCINE nimekutana na baadhi ya akina Mama na Wahudumu wa Baa ya Bombardier Kawe wakiwa Wanachechemea, wanatia Huruma huku wakiwa wanatokea Hospitali za Ndahani, kwa Mambo na Shamba ( ya Serikali ) kupatiwa Matibabu kwani Jana walikuwa hawachaguliwi wa Kupigwa kwa Hasira na hakika Kipondo kilitembezwa na Wanajeshi ( MP )
Ahadi waliyoitoa Wanajeshi ( hasa MP wa Lugalo ) ni kwamba Leo kuanzia Saa 10 Jioni wanarejea tena kwa Oparesheni yao Kabambe na kwamba leo watapita / wataingia nyunba kwa nyumba hata kama Unaukweka ( Unakunya ) utachomolewa Chooni uje upokee Kipigo utaje Wahuni unaowajua na ukimaliza huku ukiwa na Maumivu ya Kipigo chao unarejea Chooni kuendelea na Zoezi lako la Kunya ( Kuukweka )
Sifa zilizozoeleka za Marehemu Afande Luteni Kanali Muna ni ya Ubabe wake wa Kiuanajeshi aliokuwa nao hasa kwa Raia, Kugambeka ( Kulewa ) mno Baa yake Kubwa ya Maifea Kawe ila akiwa anataka Totooz ( Udhaifu mkubwa aliokuwa nao ) alikuwa akipenda kuweka Kambi katika Baa ya Wauza Malaya ( Wachafu na Wasafi ) ya Igole iliyo Mita chache tu na Kituo cha Polisi Kawe ambacho baadhi yao hao Mihemko ya Kibaiolojia ikiwazidia huvuka tu barabara na kwenda Kuponea kwa hao hao Makahaba.
Inasemekana kilichowakera Wanajeshi wa Kawe ( hasa MP ) baada ya Boss wao Marehemu Afande Luteni Kanali Muna Kuuawa hivyo na Kijana Kato ni kwa Polisi kuwanyima / kukataa kuwapa Mtuhumiwa ili waende nae Jeshini Lugalo wakamuadabishe kwa Sheria zao.
Ni haya tu nimeona niwaletee mjue.
Wanajeshi wamezidi kujimwambafai mitaana. Hata sijui kwanini wanakuwa majeuri mitaani? Wanajeshi unatakiwa uwe mpole mitaani kwani wewe kazi yako ni kulinda wananchi. Sasa inakuwaje wanajeshi unapigania na raia ambaye Hana mafuzo yoyote ya ki jeshi. Hilo liwe fundisha kwa wanajeshi wengine.Afande ( Luteni Kanali ) aliyeuawa jana Kawe Jirani na Baa maarufu ya Bombardier anaitwa Muna.
Marehemu ni Mkazi wa Mkoa wa Singida.
Marehemu Afande Luteni Kanali Muna alikuwa kapandishwa Cheo na alikuwa anaenda kuwa Mkuu wa Kikosi Mkoani Arusha na leo Ijumaa ndiyo alikuwa anatakiwa Kuripoti tayari kukabidhiwa Majukumu.
Marehemu Afande Luteni Kanali Muna aliuliwa kwa Kuchomwa na Kisu cha Kukunja na Kijana aitwae Kato huku Mkewe na Mwanae wa Kiume wakiwa ndani ya Gari.
Marehemu Afande Luteni Kanali Muna alikuwa ameenda Kubadili Tairi za Gari lake kwa Mfanyabiashara aitwae Chinga ambaye huwa Wanakunywa wote katika Baa yake ya Maifea Kawe ambayo ndiyo huwa anapenda Kunywa na hata wakati anachomwa Kisu hicho alikuwa amekunya kidogo ila anajitambua.
Afande Luteni Kanali Muna ndiyo alikuwa wa Kwanza kumkabili ( Kuzozana ) na Kijana ( Mchoma Kisu aitwae ) Kato baada ya Kuombwa asogeze Gari lake ili apite ndiyo Marehemu Afande Luteni Kanali Muna kwa Jeuri na Ubabe akamjibu Dogo ( Kato ) vibaya na kwenda Kumzaba Makofi mawili matatu.
Kijana aliyemchoma Kisu kilichopelekea Umauti Afande Luteni Kanali Muna aitwae Kato alikuwa anataka kuwahi Kawe mwisho Maringo ambako aliambiwa kuwa Mwizi wa Bajajj yake kaonekana na kwamba hata hicho Kisu alichokuwa nacho ( alichommaliza nacho Marehemu Afande Luteni Kanali Muna ) kilikuwa ni cha kwenda Kukabiliana na huyo Mwizi wake ila Marehemu Afande Luteni Kanali Muna alijiingiza tu mwenyewe katika 18 zake.
Mwili wa Marehemu Afande Luteni Kanali Muna umeagwa leo ( Mchana ) huu Hospitali ya Jeshi Lugalo na sasa uko safarini Kusafirishwa kwenda Kwao kwa Watani zangu Wanyiramba na Wanyaturu Mkoani Singida kwa Maziko rasmi Kesho.
Mchoma Kisu ( Muuaji Kato ) amekamatwa Jana akiwa njiani Kutoroka na Wanajeshi walitaka wapewe Wao, ila Jeshi la Polisi likawakatalia na Kumshikilia wao wakisema hiyo ni Kesi ya Kiraia na siyo ya Kijeshi kama ambavyo Wanajeshi walikuwa wanataka Kuilazimisha iwe hivyo.
Jana Wakazi wa Kawe ( hasa wa eneo husika ) walipokea Kipigo Kikali sana kutoka kwa Wanajeshi ( hasa MP ) kutokea Kambini Lugalo ambapo GENTAMYCINE nimekutana na baadhi ya akina Mama na Wahudumu wa Baa ya Bombardier Kawe wakiwa Wanachechemea, wanatia Huruma huku wakiwa wanatokea Hospitali za Ndahani, kwa Mambo na Shamba ( ya Serikali ) kupatiwa Matibabu kwani Jana walikuwa hawachaguliwi wa Kupigwa kwa Hasira na hakika Kipondo kilitembezwa na Wanajeshi ( MP )
Ahadi waliyoitoa Wanajeshi ( hasa MP wa Lugalo ) ni kwamba Leo kuanzia Saa 10 Jioni wanarejea tena kwa Oparesheni yao Kabambe na kwamba leo watapita / wataingia nyunba kwa nyumba hata kama Unaukweka ( Unakunya ) utachomolewa Chooni uje upokee Kipigo utaje Wahuni unaowajua na ukimaliza huku ukiwa na Maumivu ya Kipigo chao unarejea Chooni kuendelea na Zoezi lako la Kunya ( Kuukweka )
Sifa zilizozoeleka za Marehemu Afande Luteni Kanali Muna ni ya Ubabe wake wa Kiuanajeshi aliokuwa nao hasa kwa Raia, Kugambeka ( Kulewa ) mno Baa yake Kubwa ya Maifea Kawe ila akiwa anataka Totooz ( Udhaifu mkubwa aliokuwa nao ) alikuwa akipenda kuweka Kambi katika Baa ya Wauza Malaya ( Wachafu na Wasafi ) ya Igole iliyo Mita chache tu na Kituo cha Polisi Kawe ambacho baadhi yao hao Mihemko ya Kibaiolojia ikiwazidia huvuka tu barabara na kwenda Kuponea kwa hao hao Makahaba.
Inasemekana kilichowakera Wanajeshi wa Kawe ( hasa MP ) baada ya Boss wao Marehemu Afande Luteni Kanali Muna Kuuawa hivyo na Kijana Kato ni kwa Polisi kuwanyima / kukataa kuwapa Mtuhumiwa ili waende nae Jeshini Lugalo wakamuadabishe kwa Sheria zao.
Ni haya tu nimeona niwaletee mjue.
Wazalendo /wananchi , mfadhili wananchi , ni ghost armyMkuu kuna kundi linajiita 'wazalendo' wanapigana na M23 kwa sasa.
Hao jamaa wana uhusiano gani na jeshi la DRC (FARDC) ?, Nani mfadhili/ kiongozi wao ?
Umewaza kituUkute kazini wamerogana?!
Sakizi ?!
Apply cheo sehemu husika , wengine ni don't cAreUko sahihi 100% kuwa hakumjua kuwa ni Mwanajeshi tena wa hicho Cheo Kikubwa tu cha Luteni Kanali.
Hiko wanachotak fany to risk to their jobkwa nilizozipata chini chini ni kwamba hiki kipigo kitaendelea ndani ya siku 14 mpaka wahuni wote wa mtaa wapatikane lakini pia oparesheni hii imepewa jina nakuitwa op salaleee.
tofauti na hivyo mp canal fulani ameeleza huko kambini kkwamba watatoa ratiba ya kipigo kwa raia na watabandika majina ya askari watakao kuwa wanabadilishana shift mpaka kukamilisha siku hizo 14'
poleni sana ndugu zangu wa kawe na muwe na op njema.binafsi nakopesha nauli kwa atakae hitaji safari ya siku hizi mbili tatu
Class of 2006 - 2009 BAMC.SAUT hamtokuja kupata kipaji cha ajabu kama cha Mr GENTAMYCINE
Nakutabiria makubwa mbeleni
Za ndani ndani naskia ulitungua first class pale kwa mtakatifu
Multi talented
Mkuu sasa polisi na vyombo vingine vya ulinzi na usalama wanakua wapi kuruhusu raia kupigwa kiasi icho? Au kuna sheria inaruhusu hayo yote kutendekaClass of 2006 - 2009 BAMC.
🤣🤣🤣Sema wanajesh huwa wanapenda ubabe Sana ,nimewahi pigishwa push up za kutosha na mabuti juu ....Kisa wamepita wanajesh watatu sijawasalimia ....
Usichanganye mada!Hivi wale wapiga debe wa kawe mkwamani na kawe tanganyika packers bado wapo ?
Wale ndiyo chanzo cha wizi wa kawe .
Vilevile kuna asilimia kubwa ya Bajaji na Bodaboda wanashirikiana na wezi au wao vilevile ni wezi .
Huyo dogo atakuwa anatumia bangi au ni mwizi
Sijui.Mkuu sasa polisi na vyombo vingine vya ulinzi na usalama wanakua wapi kuruhusu raia kupigwa kiasi icho? Au kuna sheria inaruhusu hayo yote kutendeka
Wanajeshi wa Hovyo na sheria za hovyo katika nchi ya hovyoSema wanajesh huwa wanapenda ubabe Sana ,nimewahi pigishwa push up za kutosha na mabuti juu ....Kisa wamepita wanajesh watatu sijawasalimia ....
DuhhhSanamu ya Kato ijengwe haraka kabla hajazikwa uyo mbwa
Sidhani kama aliyeandika story hii kuna ukweli 100% lakini ukweli pekee Mwanajeshi kauliwa na mtuhumiwa kashikwa sina shaka nalo, hapa haijalishi nani alikosa ila anayeweza kuchomoa kisu na kumuuwa mtu kwa hali labda alikuwa na hasira au kuchokozwa niamini, huyu atakuwa kisha fanya sana kujeruhi watu au kutishia watu na kisu. Na kama alikuwa kachukuwa kisu kwenda kukabiliana na aliyemwibia pikipiki basi alikuwa amedhamiria kuumiza mtu. Tabia haianzi siku moja.
Ila story kusema alisema nipishe marehemu kakataa haingii kwenye akili njia zote ushindwe kupita mpaka ukamvae mtu kwa matusi na mwisho kuwa huu mtu kupoteza maisha lakini pia yeye pia mwendo kaumaliza. Nini faida ya yote haya? somo siku zote tujifunze ku control hasira zetu nje hata kama mtu amekuudhi kiasi gani humu mitaani tunapishana na watu kila aina, wengine wezi, wauwaji, wavuta bangi na wengine stress za maisha tu mtu kaachwa huko anakuja maliza hasira kwako.