Nakazia.Kwa mwanaume anayejitambua hapo palikuwa siyo pakuonyesha ubabe,ukiwa na familia epuka sana shari huyo unayemletea shari anaweza kuwa yupo vizuri kuliko wewe ukaumbuka mbele ya mkeo na wanao.
Tuachane na kumuua tu-assume kwamba Bajaj driver Kato angekuwa yupo vizuri kurusha mkono akampasua hiyo familia yake ingemuonaje?mkewe wangepishana kauli siku amwambie mwanaume gani wewe unajifanya una mafunzo ya kijeshi unapigwa na dereva wa Bajaj asiyejua hata kushika bastola?bado angethubutu kusema mkewe ana dharau?maana hayo angekuwa ameyataka yeye.
Asante kwa kuamua Kutenga muda wako Kulielimisha hilo Pumbavu la Milele Medecin ila usitegemee kama litakuelewa kwani Limerithi huo Upumbavu wa Milele unaomgharimu.Sema ana uandishi mbaya sio mwandiko mnaya. Mwandiko hauusiani na alama za uandishi na upangaji wa maandishi.
Mwandiko ni muunganiko wa herufi tu, na upo wa kuchapa na kuunga wengine huita mcharazo na wima..
Mwandiko mbaya ni ule usiosomeka .
Je mwandishi mwandiko wake hausomeki ?
Mpo wengi sana mnaoshindwa kutofautisha mwandiko na uandishi.
Soma la Insha lilikupita kushoto ila unajifanya unajua kukosoa.
Huwa sipendi mnavyochanganya insha na mwandiko? Mwandiko ni 'subset" ya insha
UANDISHI !UANDISHI!
Ndio maana wanahabari wanaitwa waaandishi wa habari hawaitwi wanamwandiko wa habari, kwa sababu wanaandika habari sio mwandiko( mwandiko ni tool ).
Mwandiko ni art of making letters.
Mwandiko ni somo la chekechea na drs la kwanza.
Uandishi in sanaa ya kuunda maneno ssentensi a insha kwa kuzingatia kanuni zote za uandishi.
Picha hii ni somo la kusoma na kuandika. Mtoto ataunda hizo herufi bila kujali zinaleta maana au la na baadae kuunganisha ili kipata maana na kusoma maneno yatayoundwa na herufi hizo.
View attachment 2795446View attachment 2795446
Exactly...!!I guess afande ndio aliharibu kwa jamaa
Umeandika ukiwa na bia ngapi kichwani!??Kuna umuhimu wa kupitia usajili wa kila boba boda Na Bajaji ndani ya hii nchi ili kila mmiliki ajulikane na hii itapelekea hiyo biashara kuwa ki professional.
Sasahivi udhibiti ni mdogo sana mtu amepata ela anagawa boda boda au Bajaji kwa mtu hajui nyumbani kwake hakuna dhamana yoyote imewekwa kwa lolote likitokea matokea yake wizi unaingizwa ndani yake .
Faini za awali ziliponguzwa zirudishwe ama sivyo madhara makubwa yataongezeka kwa watumiaji na abiria .
Sawa sawa, mkuuMimi ngumi ni kitu cha mwisho kabisa hata kufikiria kurusha. Kuna watu hata gari kugusana tu tayari anashuka ngumi mkononi! Kuna watu hata humfikirii lakini ni hatari kwenye hand to hand unaweza kutia aibu na mwili wako.
Mpenda ugomvi yeyote ni vile hajakutana na kisiki kimnyooshe ndio ataanza kwenda taratibu na watu.
HaipingwClass of 2006 - 2009 BAMC.