Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato

Unatafutwa uunganishwe na mshitakiwa
 
Sifurahii kifo cha Mtu Ila hiki ni kifo halali.
 
Iwe funzo kwa wanajeshi, wasipende kutumia nguvu kila sehemu, hekima na busara ni muhimu ktk kukabiliana na tatizo lolote.
Jifunze kutazama mambo kiakili we jamaa!

Unaambiwa muhusika ambae ni marehem aliekua ndio kesha teuliwa kuwa mkuu wa kikosi Arusha halafu umauti ukamkuta,eti kisa wamekosana kwenye parking ya magari,halafu jiulize huyo aliemchoma kisu.yeye anaujasiri gani wa kumchoma mjeda,halafu huyo mjeda aliekua Hana mafunzo ya kutosha hadi mchomaji Raia wa kawaida amchome kisu!?huyo Raia Kato ana mafunzo ya kiasi gani hadi awe na uwezo wa kumchoma MP!!?



Nyie watu tuwe tunafiiria mambo kwa mtazamo tofauti!!!

Na kama huyo marehem mp alikua na Sare zake aiseh hapo ndio maswali yatazidi kwa wale wa kwenda deep!!
 
Luteni kanali anakunywa bar za usweken na kutembea na wanawake wa ovyo ovyo.
Luteni kanali anatakiwa kunywea kwenye hoteli ya maana au officers mess kwa wenzake.
Ninaowahurumia ni Mama na hao watoto, kuna jamaa alipofariki baba yao mjeshi ndio ukawa mwanzo wa familia yao kuporomoka wakahama mpaka mjini wakarudi kijijini maana kumudu Maisha ya mjini Mama yao alishindwa akaamua arudi kwa Mama yake na watoto wake, nyumba ya mjini akapangisha hawajawahi kurudi mjini mpaka leo, kwa hio Maisha yamebadirika ghafla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…