Rashidi Jololo
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,704
- 2,858
Ulikuwa unapigwa PIPE na mzungu ndugu?Ahadi waliyoitoa Wanajeshi ( hasa MP wa Lugalo ) ni kwamba Leo kuanzia Saa 10 Jioni wanarejea tena kwa Oparesheni yao Kabambe na kwamba leo watapita / wataingia nyunba kwa nyumba hata kama Unaukweka ( Unakunya ) utachomolewa Chooni uje upokee Kipigo utaje Wahuni unaowajua na ukimaliza huku ukiwa na Maumivu ya Kipigo chao unarejea Chooni kuendelea na Zoezi lako la Kunya ( Kuukweka )
Hii aya nimeipenda nimecheka hadi nimejamba na kumsababishia mzungu nae kucheka. 😂 😂 😂 😂 😂