Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato

Please!

Chuo cha JWTZ cha Makomandoo wanachukua mijitu mizee kama wewe na mijingi hivyo ?

Serious events za watu kupigwa na wanajeshi we unadhani ndio nafasi ya kuleta sensational and stupid narratives. Get a freaking grip.
Pumbavu kuna mahala nimesema GENTAMYCINE naenda kufanya Kazi na JWTZ pale Chuo chao cha Makomandoo? Onyesha upesi sana. Mkiambiwa msipende kuwa Mnakazwa hovyo hadi Kufukuliwa hamtaki Kusikia. Kuhusu kuujua Umri wangu mkubwa wala hujakosea kwani 100% ya ninaowakaza huujua Umri wangu na huenda nawe ukawa ni miongoni mwao.
 
Naona hili swala umelivalia kibwebwe kama muasi wa ADF
 
Go easy Deo/Muna,najua unaenda kulala,Manyoni+ kipondodajirani na aliipolala Hilda, mdogo wako,! Kama kuna kuonana mpe salamu [emoji24][emoji24]
No one is better than others tuishi kwa amani [emoji24][emoji24][emoji24] naukumbuka Sana usiku ule,unamwambia mdogo wako agongeshe gari upande niliokaa Mimi ili nife, bila sababu yoyote,[emoji24][emoji24] after 10years unapotea
 
Pole mkuu ilikuwaje?
 
Labda waje na bunduki vinginevyo wanikute home wanipige nitakachowafanya Kato akasome.

Mapumbavu sana hayo manajeshi.Hongera sana dogo Kwa kuweka heshima
 
Hana akili zozote huyo limbukeni wa vihela
 
Tuendelee hivi hivi Ili kuwe na nidhamu,Askari ni waonezi sana ila wanajeshi wamezidi
 
Haku-apply huo ukomandoo wake ili kukabiliana na huyo kijana mwenye kisu cha kukunja. Hakika tunatembea na vifo. Muda mfupi alikuwa akifurahia kupanda cheo kumbe wakati huo huo umauti ulikuwa umetia timu.
Askari matati ni WA Vyeo vya chini sio hao wa univasite wenye tuvyeo hamna kitu hapo
 
Sidhani labda iwe tamthilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…