Doctor Ngariba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2020
- 588
- 951
Ngoma ikilia sana inaelekea kupasuka, kuna nyuzi nyingi sana hapa JF zinazoonesha hawa JEIWII(baadhi) kukosa weledi, busara na kunyanyua mabega kwa wananchi wa kawaida. Aibu ni kupoteza mtu mkubwa (tarajali) kama huyu kizembe kama hivi.
Kwa nini mujisikie fahari kupiga watanzania wenzenu kwa mwamvuli wa uanajeshi? Na nyinyi mnaopiga wananchi hapo Kawe hamuoni kuwa munadhulumu wasio na hatia matokeo yake munatengeneza chuki dhidi ya wananchi!!!
Kama ameua Kato kwa nini mupige wote? Ulimbukeni na ushamba.