Updates za Kimbunga Hidaya: Ulipo hali ikoje?

Inaenda
Kinaenda kubeba mijoka ya kule milimani iipeleke kuzimu, mkiwa karibu mtasikia minyororo inatoa sauti
 
Daah Mungu awanusuru ndugu zetu...hiko mimbuka kimetuletea tuu upepo na baridi kanda ya kati..
 
Siku ya jana Kanisa la wasabato mafia limebomolewa na kimbunga cha hidaya




Siku ya jana pia mvua zimebomoa msikiti saudi arabia




Binafsi najiuliza Mungu mwenye nguvu mbona hazilindi nyumba zake za ibada.

Maana ninaamini yeye ni Muweza wa yote na mjuzi wa yote hata mvua na vimbunga anazileta yeye mwenyewe.

Kuruhusu zibomoke anatupa maswali waumini ambao tunamtegemea yeye atulinde
 
Miungu Iko mingi sana Kuna Mungu wa wasabato,Mungu wa Wakristo,Mungu wa waislamu nk Havari ya huo msikiti kaulize Mungu wa waislamu au waislamu wenyewe na kuhusu Hilo Kanisa la wasabato kamuulize Mungu wa wasabato au wasabato wenyewe ndio watakuwa na majibu ya hiyo miungu Yao kushindwa kazi
Miungu Wengine dini zingine haikushindwa kazi
 
Mmeanza tena na nyuzi zenu zakumchafua na kumdhihaki MUNGU....😑😑😑😠😠😠
 
Hizo mindset za kusema nyumba za Mungu ni majengo ni za kijinga sana,
Kama wewe ni mtu unaejua maswala spiritual lazima uelewe mafundisho ya Yashua Amashiach Mnazarene
(Jesus Christ of Nazareth)
Aliposema hekalu la Mungu ni mtu na Sio jengo sijui kwanini hua hamuelewi hii concept ya Uungu nyie black minded people!
 

Attachments

  • 1713261577843.jpg
    126.1 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…