Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Poleni sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wamesepa na kimbunga Hidaya🤣
Hii nchi inaudhi sasa
Mh Kuna vitu vya kuchukulia u serious
Upo karibu na fukweSasa Kimekosa Nguvu Na Kasi
Hapa Nimefuatilia TMA Taarifa Zao Na Vyombo Vya HabariUpo karibu na fukwe
Bermuda Triangle.Hiki kimbunga kinatoa Sauti kama za barmude triangle
Ungekuja kwangu nikupe usingizi mwororo... Ukilala pembeni ya babu unakuwa na usalama wa uhakika...Babu kwa huu upepo usingizi ulipaa mbona.
Tumesha kipotezaKwa mwendo wa maringo mithili ya twiga, na zile nyumba zenu mlizoezeka mabati ya madebe mjipange.