Updates za Kimbunga Hidaya: Ulipo hali ikoje?

Updates za Kimbunga Hidaya: Ulipo hali ikoje?

Kwa hapa dar upepo ni mkali sana ulioambatana na baridi kali, ni mwendo wa kukoga mivumbi kipande hichi Cha Goba😅.

Tafadhali ni muhimu sana wakuu, tuepuke kukaa karibu na majengo mabovu ama vitu vya kuegeshwa. Unaweza kujikuta umebondwa na kitu kizito utosin!
apo goba hidaya amenitendea jambo jana jion
 
1000004894.jpg
 
TANGAZOOO

shuhuliii ipooo kwa wattu wembambaa hakikishen popote mlipoo mko na wengine wa kuwasapoti huu upepooo n sombasombaa kwa afya zisizo na msimamooooooo....

muhimu mjihadhari kutembea pekeyenu kwa usalama wenu

hakikisha unaekuwa nae ana afya kidogo sio kama wewe maana utawasomba wote akuna wa kumsaidia mwenzie
Tumeweka mawe mfukoni hivyo tupo salama😅
 
Ni Shirika la Utabiri wa Hali ya Hewa Duniani (WMO).

Huyu Hidaya anaachwa mbali sana na Malkia Katrina huyu bibie alileta sana kashikashi duniani..
Malkia Kateina alikuwa baby wx wangu enzi za sekondari😂
 
Watu hawajui hii kitu, kuna ambao hawajaona hata test yake tangu kitangazwe ndo maana
Kweli aisee. Mie jana sikulala vyema, nilidhani minazi itaangukia nyumba mweeh. Na umeme wakauzima. Kuna mda niliskia kwa mbaali vishindo nikajua kuna bati lishaezuka mahali
 
Back
Top Bottom